Umepiga kwenye mshono wa siku mbili [emoji23]Sasa waende wakaonyeshe unguli wao kwenye Mahakama za kimataifa tunakolipishwa mabilioni [emoji23]
Hii nchi itangazwe wazi kabisa imefikia kilele cha ujinga wa Dini.. sababu ya upumbavu wa Madrassa maana kila kitu kisa Raisi ni Muislam akifanya ujinga wanakuja juu kutetea.. sasa huyo wakili muunguja naye hoj yake ni kusifia DP word eti haijawahi kuingia katika mgogolo na Serikali ya emirate.. ana uhakika gani and yeye nafasi yake ni ipi hapo kwenye uzalendo? akaulize kwao Unguja Mwinyi kafanya nini maana kule mgogolo tayari mwanamuita fisadi kisa kachukua ardi ya bandari... and kama uzalendo mikataba ivunjwe kwa hao highest bidder na tuendeshe wenyewe kwa mikakati mipya ya kuzuia wezi na wakishikwa wanyongwe au vifung vya maisha na kufilisiwaJopo la wanasheria 10 Wakujitegemee kwenda Mahakamani kuomba kufungua kesi binafsi
Juma Nasoro kuongoza jopo la wanasheria 10 wakujitegemea akiwemo wakili msomi Yahya Njama, wakili Abdulfataha Abdallah, wakili Hussein Hitu, wakili Salim Abubakar, Wakili Daimu Khalfani kuomba mahakama iwape ruhusa wafungue kesi binafsi kwa ajili ya uzalendo walionao kuwadhibiti wanaotumia lugha ya matusi, uchochezi, ubaguzi yule mwarabu, huyu mchina au wale mzungu, dini katika mjadala wa bandari na kwanini anapokuja mwarabu ipo shida wakati wachina na wazungu wanaendesha miradi
Na kuongeza wanasheria hao wanaangalia pia uwezekano wa kuiomba mahakama imuamuru DPP mwendesha mashtaka mkuu wa serikali afungue mashtaka dhidi ya wale wanaotumia matusi
Wanasheria hao wanasema DP World ya Dubai haijawahi kuwa na matatizo au mgogoro na Falme za Kiarabu - UAE katika kuendesha miradi sehemu zingine za dunia kwanini hapa Tanzania wana hofu ...
KUDHALILISHA,KUTWEZA,KUFEDHEHESHA,KUTUKANA NI JINAI KWA MUJIBU WA SHERIA ZA JAMUHURI YA MUUNGANO YA TANZANIA.Jopo la wanasheria 10 Wakujitegemee kwenda Mahakamani kuomba kufungua kesi binafsi
Juma Nasoro kuongoza jopo la wanasheria 10 wakujitegemea akiwemo wakili msomi Yahya Njama, wakili Abdulfataha Abdallah, wakili Hussein Hitu, wakili Salim Abubakar, Wakili Daimu Khalfani kuomba mahakama iwape ruhusa wafungue kesi binafsi kwa ajili ya uzalendo walionao kuwadhibiti wanaotumia lugha ya matusi, uchochezi, ubaguzi yule mwarabu, huyu mchina au wale mzungu, dini katika mjadala wa bandari na kwanini anapokuja mwarabu ipo shida wakati wachina na wazungu wanaendesha miradi
Na kuongeza wanasheria hao wanaangalia pia uwezekano wa kuiomba mahakama imuamuru DPP mwendesha mashtaka mkuu wa serikali afungue mashtaka dhidi ya wale wanaotumia matusi
Wanasheria hao wanasema DP World ya Dubai haijawahi kuwa na matatizo au mgogoro na Falme za Kiarabu - UAE katika kuendesha miradi sehemu zingine za dunia kwanini hapa Tanzania wana hofu ...
hawa ni wadini tu, naona wameshaibuka wanasheria wakristo (mwabukusi at al), na wanasheria waislam (hao wanaokuja sasa). hil indilo tulilolisema, DP WORLD kabla ya yote walikuja kupitia Mbeya, wakaahidi kujenga msikiti kule mbeya ili kuwateka waislam wawasapoti. mwaka jana na mwaka hu ndio wamekuja mazima, na waislam wote wanawasapoti. samia na dp world hawajui kama watakumbukwa kwenye historia kwa kuwagawa watanzania kwa minajili ya kidini jambo ambalo viongozi wengine wote waliopita walilizuia. and this is too bad for her.ni precedent mbaya sana. huyo mmoja aliyejadili sana nilimwona kwenye tv anatetea kesi za shehe ponda. utakuwa umeshapata picha hapo.Jopo la wanasheria 10 Wakujitegemee kwenda Mahakamani kuomba kufungua kesi binafsi
Juma Nasoro kuongoza jopo la wanasheria 10 wakujitegemea akiwemo wakili msomi Yahya Njama, wakili Abdulfataha Abdallah, wakili Hussein Hitu, wakili Salim Abubakar, Wakili Daimu Khalfani kuomba mahakama iwape ruhusa wafungue kesi binafsi kwa ajili ya uzalendo walionao kuwadhibiti wanaotumia lugha ya matusi, uchochezi, ubaguzi yule mwarabu, huyu mchina au wale mzungu, dini katika mjadala wa bandari na kwanini anapokuja mwarabu ipo shida wakati wachina na wazungu wanaendesha miradi
Na kuongeza wanasheria hao wanaangalia pia uwezekano wa kuiomba mahakama imuamuru DPP mwendesha mashtaka mkuu wa serikali afungue mashtaka dhidi ya wale wanaotumia matusi
Wanasheria hao wanasema DP World ya Dubai haijawahi kuwa na matatizo au mgogoro na Falme za Kiarabu - UAE katika kuendesha miradi sehemu zingine za dunia kwanini hapa Tanzania wana hofu ...
na Mungu alivyo fundi, ni miongoni mwa wanasheria wabovu sana mahakamani, kwasababu akili imejaa dini badala ya sheria. huyo mmoja nakumbuka alimwakilisha Shehe Ponda kwenye kesi zake za kuhamasisha jihad Tanzania.Mbona wote ni al-Qaeda
Kazi ipo [emoji23]Jopo la wanasheria 10 Wakujitegemee kwenda Mahakamani kuomba kufungua kesi binafsi
Juma Nasoro kuongoza jopo la wanasheria 10 wakujitegemea akiwemo wakili msomi Yahya Njama, wakili Abdulfataha Abdallah, wakili Hussein Hitu, wakili Salim Abubakar, Wakili Daimu Khalfani kuomba mahakama iwape ruhusa wafungue kesi binafsi kwa ajili ya uzalendo walionao kuwadhibiti wanaotumia lugha ya matusi, uchochezi, ubaguzi yule mwarabu, huyu mchina au wale mzungu, dini katika mjadala wa bandari na kwanini anapokuja mwarabu ipo shida wakati wachina na wazungu wanaendesha miradi
Na kuongeza wanasheria hao wanaangalia pia uwezekano wa kuiomba mahakama imuamuru DPP mwendesha mashtaka mkuu wa serikali afungue mashtaka dhidi ya wale wanaotumia matusi
Wanasheria hao wanasema DP World ya Dubai haijawahi kuwa na matatizo au mgogoro na Falme za Kiarabu - UAE katika kuendesha miradi sehemu zingine za dunia kwanini hapa Tanzania wana hofu ...
Majina yenyewe yanasadifu wametumwa na nani wala haisumbui hiyo acha waende ili waaibike huko kwenye tafsiri ya sheria. Wamelipwa pesa na kundi fulani kuwalinda kichawa viongozi fulani waandamizi. Hakuna Mtanzania atakayetishwa tena na tishio la aina yoyote na hapo ndipo wanapokosea hatua badala ya kuwa wapoleJopo la wanasheria 10 Wakujitegemee kwenda Mahakamani kuomba kufungua kesi binafsi
Juma Nasoro kuongoza jopo la wanasheria 10 wakujitegemea akiwemo wakili msomi Yahya Njama, wakili Abdulfataha Abdallah, wakili Hussein Hitu, wakili Salim Abubakar, Wakili Daimu Khalfani kuomba mahakama iwape ruhusa wafungue kesi binafsi kwa ajili ya uzalendo walionao kuwadhibiti wanaotumia lugha ya matusi, uchochezi, ubaguzi yule mwarabu, huyu mchina au wale mzungu, dini katika mjadala wa bandari na kwanini anapokuja mwarabu ipo shida wakati wachina na wazungu wanaendesha miradi
Na kuongeza wanasheria hao wanaangalia pia uwezekano wa kuiomba mahakama imuamuru DPP mwendesha mashtaka mkuu wa serikali afungue mashtaka dhidi ya wale wanaotumia matusi
Wanasheria hao wanasema DP World ya Dubai haijawahi kuwa na matatizo au mgogoro na Falme za Kiarabu - UAE katika kuendesha miradi sehemu zingine za dunia kwanini hapa Tanzania wana hofu ...
Hawa ni wapumbavu tu kama wapumbavu wengine.Jopo la wanasheria 10 Wakujitegemee kwenda Mahakamani kuomba kufungua kesi binafsi
Juma Nasoro kuongoza jopo la wanasheria 10 wakujitegemea akiwemo wakili msomi Yahya Njama, wakili Abdulfataha Abdallah, wakili Hussein Hitu, wakili Salim Abubakar, Wakili Daimu Khalfani kuomba mahakama iwape ruhusa wafungue kesi binafsi kwa ajili ya uzalendo walionao kuwadhibiti wanaotumia lugha ya matusi, uchochezi, ubaguzi yule mwarabu, huyu mchina au wale mzungu, dini katika mjadala wa bandari na kwanini anapokuja mwarabu ipo shida wakati wachina na wazungu wanaendesha miradi
Na kuongeza wanasheria hao wanaangalia pia uwezekano wa kuiomba mahakama imuamuru DPP mwendesha mashtaka mkuu wa serikali afungue mashtaka dhidi ya wale wanaotumia matusi
Wanasheria hao wanasema DP World ya Dubai haijawahi kuwa na matatizo au mgogoro na Falme za Kiarabu - UAE katika kuendesha miradi sehemu zingine za dunia kwanini hapa Tanzania wana hofu ...
Wanapigwa asbh hao ni wasaka tonge kitu ambacho hawajui wanaopinga Bandar wamejipanga sanaSasa waende wakaonyeshe unguli wao kwenye Mahakama za kimataifa tunakolipishwa mabilioni π
Sema hata hivyo inaonyesha hao ni mawakili vihiyo sijui wataweza kumfunga naniJopo la wanasheria 10 Wakujitegemee kwenda Mahakamani kuomba kufungua kesi binafsi
Juma Nasoro kuongoza jopo la wanasheria 10 wakujitegemea akiwemo wakili msomi Yahya Njama, wakili Abdulfataha Abdallah, wakili Hussein Hitu, wakili Salim Abubakar, Wakili Daimu Khalfani kuomba mahakama iwape ruhusa wafungue kesi binafsi kwa ajili ya uzalendo walionao kuwadhibiti wanaotumia lugha ya matusi, uchochezi, ubaguzi yule mwarabu, huyu mchina au wale mzungu, dini katika mjadala wa bandari na kwanini anapokuja mwarabu ipo shida wakati wachina na wazungu wanaendesha miradi
Na kuongeza wanasheria hao wanaangalia pia uwezekano wa kuiomba mahakama imuamuru DPP mwendesha mashtaka mkuu wa serikali afungue mashtaka dhidi ya wale wanaotumia matusi
Wanasheria hao wanasema DP World ya Dubai haijawahi kuwa na matatizo au mgogoro na Falme za Kiarabu - UAE katika kuendesha miradi sehemu zingine za dunia kwanini hapa Tanzania wana hofu ...
Hawa watakuwa mawakili wa mahakama ya kadhiMawakili wenyewe wote kumbe ni ELIMU AKHERA?
Umeona mbali sana Mkuu , Kwa staili hii sioni Chama kubwa akingβolewa madarakani for another 60 years to come !!Mdogo mdogo udini unazidi kukomaa.Mbinu za chama kubwa ku divaidi eni rulu ili watu wazidi kupiga.Naihurumia Tanzania ya kesho.We are uncontrollably going astray.
Kwa Uzwazwa !Tanzania inabidi tuwekwe kwenye book of Guinness
Safi sana.Jopo la wanasheria 10 Wakujitegemee kwenda Mahakamani kuomba kufungua kesi binafsi
Juma Nasoro kuongoza jopo la wanasheria 10 wakujitegemea akiwemo wakili msomi Yahya Njama, wakili Abdulfataha Abdallah, wakili Hussein Hitu, wakili Salim Abubakar, Wakili Daimu Khalfani kuomba mahakama iwape ruhusa wafungue kesi binafsi kwa ajili ya uzalendo walionao kuwadhibiti wanaotumia lugha ya matusi, uchochezi, ubaguzi yule mwarabu, huyu mchina au wale mzungu, dini katika mjadala wa bandari na kwanini anapokuja mwarabu ipo shida wakati wachina na wazungu wanaendesha miradi
Na kuongeza wanasheria hao wanaangalia pia uwezekano wa kuiomba mahakama imuamuru DPP mwendesha mashtaka mkuu wa serikali afungue mashtaka dhidi ya wale wanaotumia matusi
Wanasheria hao wanasema DP World ya Dubai haijawahi kuwa na matatizo au mgogoro na Falme za Kiarabu - UAE katika kuendesha miradi sehemu zingine za dunia kwanini hapa Tanzania wana hofu ...
Hakuna anayepinga uwekezaji kwa sababu ya utaifa/ uraia ama dini yake anayependa kuwekeza Tanzania.Jopo la wanasheria 10 Wakujitegemee kwenda Mahakamani kuomba kufungua kesi binafsi