Jopo la Wanasheria 10 kuwaburuza kortini wanaotumia lugha ya matusi katika mjadala wa Bandari

Jopo la wanasheria 10 Wakujitegemee kwenda Mahakamani kuomba kufungua kesi binafsi

Juma Nasoro kuongoza jopo la wanasheria 10 wakujitegemea akiwemo wakili msomi Yahya Njama, wakili Abdulfataha Abdallah, wakili Hussein Hitu, wakili Salim Abubakar, Wakili Daimu Khalfani kuomba mahakama iwape ruhusa wafungue kesi binafsi kwa ajili ya uzalendo walionao kuwadhibiti wanaotumia lugha ya matusi, uchochezi, ubaguzi yule mwarabu, huyu mchina au wale mzungu, dini katika mjadala wa bandari na kwanini anapokuja mwarabu ipo shida wakati wachina na wazungu wanaendesha miradi

Na kuongeza wanasheria hao wanaangalia pia uwezekano wa kuiomba mahakama imuamuru DPP mwendesha mashtaka mkuu wa serikali afungue mashtaka dhidi ya wale wanaotumia matusi

Wanasheria hao wanasema DP World ya Dubai haijawahi kuwa na matatizo au mgogoro na Falme za Kiarabu - UAE katika kuendesha miradi sehemu zingine za dunia kwanini hapa Tanzania wana hofu ...

Hii nchi itangazwe wazi kabisa imefikia kilele cha ujinga wa Dini.. sababu ya upumbavu wa Madrassa maana kila kitu kisa Raisi ni Muislam akifanya ujinga wanakuja juu kutetea.. sasa huyo wakili muunguja naye hoj yake ni kusifia DP word eti haijawahi kuingia katika mgogolo na Serikali ya emirate.. ana uhakika gani and yeye nafasi yake ni ipi hapo kwenye uzalendo? akaulize kwao Unguja Mwinyi kafanya nini maana kule mgogolo tayari mwanamuita fisadi kisa kachukua ardi ya bandari... and kama uzalendo mikataba ivunjwe kwa hao highest bidder na tuendeshe wenyewe kwa mikakati mipya ya kuzuia wezi na wakishikwa wanyongwe au vifung vya maisha na kufilisiwa
 
Jopo la wanasheria 10 Wakujitegemee kwenda Mahakamani kuomba kufungua kesi binafsi

Juma Nasoro kuongoza jopo la wanasheria 10 wakujitegemea akiwemo wakili msomi Yahya Njama, wakili Abdulfataha Abdallah, wakili Hussein Hitu, wakili Salim Abubakar, Wakili Daimu Khalfani kuomba mahakama iwape ruhusa wafungue kesi binafsi kwa ajili ya uzalendo walionao kuwadhibiti wanaotumia lugha ya matusi, uchochezi, ubaguzi yule mwarabu, huyu mchina au wale mzungu, dini katika mjadala wa bandari na kwanini anapokuja mwarabu ipo shida wakati wachina na wazungu wanaendesha miradi

Na kuongeza wanasheria hao wanaangalia pia uwezekano wa kuiomba mahakama imuamuru DPP mwendesha mashtaka mkuu wa serikali afungue mashtaka dhidi ya wale wanaotumia matusi

Wanasheria hao wanasema DP World ya Dubai haijawahi kuwa na matatizo au mgogoro na Falme za Kiarabu - UAE katika kuendesha miradi sehemu zingine za dunia kwanini hapa Tanzania wana hofu ...

KUDHALILISHA,KUTWEZA,KUFEDHEHESHA,KUTUKANA NI JINAI KWA MUJIBU WA SHERIA ZA JAMUHURI YA MUUNGANO YA TANZANIA.
->waburuzwe kortini.
 
Jopo la wanasheria 10 Wakujitegemee kwenda Mahakamani kuomba kufungua kesi binafsi

Juma Nasoro kuongoza jopo la wanasheria 10 wakujitegemea akiwemo wakili msomi Yahya Njama, wakili Abdulfataha Abdallah, wakili Hussein Hitu, wakili Salim Abubakar, Wakili Daimu Khalfani kuomba mahakama iwape ruhusa wafungue kesi binafsi kwa ajili ya uzalendo walionao kuwadhibiti wanaotumia lugha ya matusi, uchochezi, ubaguzi yule mwarabu, huyu mchina au wale mzungu, dini katika mjadala wa bandari na kwanini anapokuja mwarabu ipo shida wakati wachina na wazungu wanaendesha miradi

Na kuongeza wanasheria hao wanaangalia pia uwezekano wa kuiomba mahakama imuamuru DPP mwendesha mashtaka mkuu wa serikali afungue mashtaka dhidi ya wale wanaotumia matusi

Wanasheria hao wanasema DP World ya Dubai haijawahi kuwa na matatizo au mgogoro na Falme za Kiarabu - UAE katika kuendesha miradi sehemu zingine za dunia kwanini hapa Tanzania wana hofu ...

hawa ni wadini tu, naona wameshaibuka wanasheria wakristo (mwabukusi at al), na wanasheria waislam (hao wanaokuja sasa). hil indilo tulilolisema, DP WORLD kabla ya yote walikuja kupitia Mbeya, wakaahidi kujenga msikiti kule mbeya ili kuwateka waislam wawasapoti. mwaka jana na mwaka hu ndio wamekuja mazima, na waislam wote wanawasapoti. samia na dp world hawajui kama watakumbukwa kwenye historia kwa kuwagawa watanzania kwa minajili ya kidini jambo ambalo viongozi wengine wote waliopita walilizuia. and this is too bad for her.ni precedent mbaya sana. huyo mmoja aliyejadili sana nilimwona kwenye tv anatetea kesi za shehe ponda. utakuwa umeshapata picha hapo.
 
Mbona wote ni al-Qaeda
na Mungu alivyo fundi, ni miongoni mwa wanasheria wabovu sana mahakamani, kwasababu akili imejaa dini badala ya sheria. huyo mmoja nakumbuka alimwakilisha Shehe Ponda kwenye kesi zake za kuhamasisha jihad Tanzania.
 
Jopo la wanasheria 10 Wakujitegemee kwenda Mahakamani kuomba kufungua kesi binafsi

Juma Nasoro kuongoza jopo la wanasheria 10 wakujitegemea akiwemo wakili msomi Yahya Njama, wakili Abdulfataha Abdallah, wakili Hussein Hitu, wakili Salim Abubakar, Wakili Daimu Khalfani kuomba mahakama iwape ruhusa wafungue kesi binafsi kwa ajili ya uzalendo walionao kuwadhibiti wanaotumia lugha ya matusi, uchochezi, ubaguzi yule mwarabu, huyu mchina au wale mzungu, dini katika mjadala wa bandari na kwanini anapokuja mwarabu ipo shida wakati wachina na wazungu wanaendesha miradi

Na kuongeza wanasheria hao wanaangalia pia uwezekano wa kuiomba mahakama imuamuru DPP mwendesha mashtaka mkuu wa serikali afungue mashtaka dhidi ya wale wanaotumia matusi

Wanasheria hao wanasema DP World ya Dubai haijawahi kuwa na matatizo au mgogoro na Falme za Kiarabu - UAE katika kuendesha miradi sehemu zingine za dunia kwanini hapa Tanzania wana hofu ...
Kazi ipo [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Majina yenyewe yanasadifu wametumwa na nani wala haisumbui hiyo acha waende ili waaibike huko kwenye tafsiri ya sheria. Wamelipwa pesa na kundi fulani kuwalinda kichawa viongozi fulani waandamizi. Hakuna Mtanzania atakayetishwa tena na tishio la aina yoyote na hapo ndipo wanapokosea hatua badala ya kuwa wapole
 
Jopo la wanasheria 10 Wakujitegemee kwenda Mahakamani kuomba kufungua kesi binafsi

Juma Nasoro kuongoza jopo la wanasheria 10 wakujitegemea akiwemo wakili msomi Yahya Njama, wakili Abdulfataha Abdallah, wakili Hussein Hitu, wakili Salim Abubakar, Wakili Daimu Khalfani kuomba mahakama iwape ruhusa wafungue kesi binafsi kwa ajili ya uzalendo walionao kuwadhibiti wanaotumia lugha ya matusi, uchochezi, ubaguzi yule mwarabu, huyu mchina au wale mzungu, dini katika mjadala wa bandari na kwanini anapokuja mwarabu ipo shida wakati wachina na wazungu wanaendesha miradi

Na kuongeza wanasheria hao wanaangalia pia uwezekano wa kuiomba mahakama imuamuru DPP mwendesha mashtaka mkuu wa serikali afungue mashtaka dhidi ya wale wanaotumia matusi

Wanasheria hao wanasema DP World ya Dubai haijawahi kuwa na matatizo au mgogoro na Falme za Kiarabu - UAE katika kuendesha miradi sehemu zingine za dunia kwanini hapa Tanzania wana hofu ...

Hawa ni wapumbavu tu kama wapumbavu wengine.
Wanatumia akili za tumboni zaidi kuliko kutumia akili za kichwani.
Njaa mbaya sana.
Hakuna kitu kinachukiza sana kama kujipendekeza.
 
Jopo la wanasheria 10 Wakujitegemee kwenda Mahakamani kuomba kufungua kesi binafsi

Juma Nasoro kuongoza jopo la wanasheria 10 wakujitegemea akiwemo wakili msomi Yahya Njama, wakili Abdulfataha Abdallah, wakili Hussein Hitu, wakili Salim Abubakar, Wakili Daimu Khalfani kuomba mahakama iwape ruhusa wafungue kesi binafsi kwa ajili ya uzalendo walionao kuwadhibiti wanaotumia lugha ya matusi, uchochezi, ubaguzi yule mwarabu, huyu mchina au wale mzungu, dini katika mjadala wa bandari na kwanini anapokuja mwarabu ipo shida wakati wachina na wazungu wanaendesha miradi

Na kuongeza wanasheria hao wanaangalia pia uwezekano wa kuiomba mahakama imuamuru DPP mwendesha mashtaka mkuu wa serikali afungue mashtaka dhidi ya wale wanaotumia matusi

Wanasheria hao wanasema DP World ya Dubai haijawahi kuwa na matatizo au mgogoro na Falme za Kiarabu - UAE katika kuendesha miradi sehemu zingine za dunia kwanini hapa Tanzania wana hofu ...

Sema hata hivyo inaonyesha hao ni mawakili vihiyo sijui wataweza kumfunga nani
 
Kwa kiwango dpword walichotetewa ningeshauri wapewe na wake zetu hawa watatuletea maendeleo hata majumban
 
Mdogo mdogo udini unazidi kukomaa.Mbinu za chama kubwa ku divaidi eni rulu ili watu wazidi kupiga.Naihurumia Tanzania ya kesho.We are uncontrollably going astray.
Umeona mbali sana Mkuu , Kwa staili hii sioni Chama kubwa aking’olewa madarakani for another 60 years to come !!

Na hii Chama kubwa wanaifurahia kimoyo moyo japo hawawezi kuionyesha furaha usoni !!

Divaidi endi Rulii 😅😅🙏🙏. Ipo mijitu mingi mijinga mijinga huwa haijui kwamba watu wa propaganda huwa wanawaza na kuwazua ni kitu gani wakipenyeze kwenye mjadala mkubwa wowote ule ili kuwafanya watu wafarakane katika huo mjadala wasiwe na msimamo mmoja na wakishafanikiwa hilo basi wanagongesha glass za champagne and that will be End of the Story !!! 😅😅😅🙏🙏🙏.
Jamaa ni wajanja hawawezekani sasa watu wabaki wanalumbana kuhusu ni ipi ya akhera na ipi ya duniani 😂😂😂

Aliyesema Ujinga ni mzigo hajakosea kabisa 🙏🙏😅
 
Jopo la wanasheria 10 Wakujitegemee kwenda Mahakamani kuomba kufungua kesi binafsi

Juma Nasoro kuongoza jopo la wanasheria 10 wakujitegemea akiwemo wakili msomi Yahya Njama, wakili Abdulfataha Abdallah, wakili Hussein Hitu, wakili Salim Abubakar, Wakili Daimu Khalfani kuomba mahakama iwape ruhusa wafungue kesi binafsi kwa ajili ya uzalendo walionao kuwadhibiti wanaotumia lugha ya matusi, uchochezi, ubaguzi yule mwarabu, huyu mchina au wale mzungu, dini katika mjadala wa bandari na kwanini anapokuja mwarabu ipo shida wakati wachina na wazungu wanaendesha miradi

Na kuongeza wanasheria hao wanaangalia pia uwezekano wa kuiomba mahakama imuamuru DPP mwendesha mashtaka mkuu wa serikali afungue mashtaka dhidi ya wale wanaotumia matusi

Wanasheria hao wanasema DP World ya Dubai haijawahi kuwa na matatizo au mgogoro na Falme za Kiarabu - UAE katika kuendesha miradi sehemu zingine za dunia kwanini hapa Tanzania wana hofu ...

Safi sana.

Hii nimeipenda.
 
Hakuna anayepinga uwekezaji kwa sababu ya utaifa/ uraia ama dini yake anayependa kuwekeza Tanzania.
Kinachopingwa ni vipengele tata vilivyomo kwenye mkataba wa uwekezaji.
Zito Kabwe alipinga kwa nguvu uwekezaji wa kuchimba dhahabu Buzwagi, na tunakumbuka alivyotimuliwa bungeni akidaiwa kuwa kasema uongo. Hakupinga uwekezaji kwa sababu wawekezaji walikuwa ni wazungu,bali alipinga ubovu wa mkataba uliosainiwa na aliyekuwa Waziri wakati ule Mh. Karamagi.
Mradi mkubwa wa ujenzi wa bwawa la Mwalimu Nyerere wanajenga waarabu wa Misri, kilichoangaliwa ni uwezo na gharama nafuu siyo asili yao.
 
Back
Top Bottom