Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umepiga kwenye mshono wa siku mbili [emoji23]Sasa waende wakaonyeshe unguli wao kwenye Mahakama za kimataifa tunakolipishwa mabilioni [emoji23]
Jopo la wanasheria 10 Wakujitegemee kwenda Mahakamani kuomba kufungua kesi binafsi
Juma Nasoro kuongoza jopo la wanasheria 10 wakujitegemea akiwemo wakili msomi Yahya Njama, wakili Abdulfataha Abdallah, wakili Hussein Hitu, wakili Salim Abubakar, Wakili Daimu Khalfani kuomba mahakama iwape ruhusa wafungue kesi binafsi kwa ajili ya uzalendo walionao kuwadhibiti wanaotumia lugha ya matusi, uchochezi, ubaguzi yule mwarabu, huyu mchina au wale mzungu, dini katika mjadala wa bandari na kwanini anapokuja mwarabu ipo shida wakati wachina na wazungu wanaendesha miradi
Na kuongeza wanasheria hao wanaangalia pia uwezekano wa kuiomba mahakama imuamuru DPP mwendesha mashtaka mkuu wa serikali afungue mashtaka dhidi ya wale wanaotumia matusi
Wanasheria hao wanasema DP World ya Dubai haijawahi kuwa na matatizo au mgogoro na Falme za Kiarabu - UAE katika kuendesha miradi sehemu zingine za dunia kwanini hapa Tanzania wana hofu ...

na Mungu alivyo fundi, ni miongoni mwa wanasheria wabovu sana mahakamani, kwasababu akili imejaa dini badala ya sheria. huyo mmoja nakumbuka alimwakilisha Shehe Ponda kwenye kesi zake za kuhamasisha jihad Tanzania.Mbona wote ni al-Qaeda
Kazi ipo [emoji23]Jopo la wanasheria 10 Wakujitegemee kwenda Mahakamani kuomba kufungua kesi binafsi
Juma Nasoro kuongoza jopo la wanasheria 10 wakujitegemea akiwemo wakili msomi Yahya Njama, wakili Abdulfataha Abdallah, wakili Hussein Hitu, wakili Salim Abubakar, Wakili Daimu Khalfani kuomba mahakama iwape ruhusa wafungue kesi binafsi kwa ajili ya uzalendo walionao kuwadhibiti wanaotumia lugha ya matusi, uchochezi, ubaguzi yule mwarabu, huyu mchina au wale mzungu, dini katika mjadala wa bandari na kwanini anapokuja mwarabu ipo shida wakati wachina na wazungu wanaendesha miradi
Na kuongeza wanasheria hao wanaangalia pia uwezekano wa kuiomba mahakama imuamuru DPP mwendesha mashtaka mkuu wa serikali afungue mashtaka dhidi ya wale wanaotumia matusi
Wanasheria hao wanasema DP World ya Dubai haijawahi kuwa na matatizo au mgogoro na Falme za Kiarabu - UAE katika kuendesha miradi sehemu zingine za dunia kwanini hapa Tanzania wana hofu ...
Jopo la wanasheria 10 Wakujitegemee kwenda Mahakamani kuomba kufungua kesi binafsi
Juma Nasoro kuongoza jopo la wanasheria 10 wakujitegemea akiwemo wakili msomi Yahya Njama, wakili Abdulfataha Abdallah, wakili Hussein Hitu, wakili Salim Abubakar, Wakili Daimu Khalfani kuomba mahakama iwape ruhusa wafungue kesi binafsi kwa ajili ya uzalendo walionao kuwadhibiti wanaotumia lugha ya matusi, uchochezi, ubaguzi yule mwarabu, huyu mchina au wale mzungu, dini katika mjadala wa bandari na kwanini anapokuja mwarabu ipo shida wakati wachina na wazungu wanaendesha miradi
Na kuongeza wanasheria hao wanaangalia pia uwezekano wa kuiomba mahakama imuamuru DPP mwendesha mashtaka mkuu wa serikali afungue mashtaka dhidi ya wale wanaotumia matusi
Wanasheria hao wanasema DP World ya Dubai haijawahi kuwa na matatizo au mgogoro na Falme za Kiarabu - UAE katika kuendesha miradi sehemu zingine za dunia kwanini hapa Tanzania wana hofu ...
Jopo la wanasheria 10 Wakujitegemee kwenda Mahakamani kuomba kufungua kesi binafsi
Juma Nasoro kuongoza jopo la wanasheria 10 wakujitegemea akiwemo wakili msomi Yahya Njama, wakili Abdulfataha Abdallah, wakili Hussein Hitu, wakili Salim Abubakar, Wakili Daimu Khalfani kuomba mahakama iwape ruhusa wafungue kesi binafsi kwa ajili ya uzalendo walionao kuwadhibiti wanaotumia lugha ya matusi, uchochezi, ubaguzi yule mwarabu, huyu mchina au wale mzungu, dini katika mjadala wa bandari na kwanini anapokuja mwarabu ipo shida wakati wachina na wazungu wanaendesha miradi
Na kuongeza wanasheria hao wanaangalia pia uwezekano wa kuiomba mahakama imuamuru DPP mwendesha mashtaka mkuu wa serikali afungue mashtaka dhidi ya wale wanaotumia matusi
Wanasheria hao wanasema DP World ya Dubai haijawahi kuwa na matatizo au mgogoro na Falme za Kiarabu - UAE katika kuendesha miradi sehemu zingine za dunia kwanini hapa Tanzania wana hofu ...
Wanapigwa asbh hao ni wasaka tonge kitu ambacho hawajui wanaopinga Bandar wamejipanga sanaSasa waende wakaonyeshe unguli wao kwenye Mahakama za kimataifa tunakolipishwa mabilioni 😂
Jopo la wanasheria 10 Wakujitegemee kwenda Mahakamani kuomba kufungua kesi binafsi
Juma Nasoro kuongoza jopo la wanasheria 10 wakujitegemea akiwemo wakili msomi Yahya Njama, wakili Abdulfataha Abdallah, wakili Hussein Hitu, wakili Salim Abubakar, Wakili Daimu Khalfani kuomba mahakama iwape ruhusa wafungue kesi binafsi kwa ajili ya uzalendo walionao kuwadhibiti wanaotumia lugha ya matusi, uchochezi, ubaguzi yule mwarabu, huyu mchina au wale mzungu, dini katika mjadala wa bandari na kwanini anapokuja mwarabu ipo shida wakati wachina na wazungu wanaendesha miradi
Na kuongeza wanasheria hao wanaangalia pia uwezekano wa kuiomba mahakama imuamuru DPP mwendesha mashtaka mkuu wa serikali afungue mashtaka dhidi ya wale wanaotumia matusi
Wanasheria hao wanasema DP World ya Dubai haijawahi kuwa na matatizo au mgogoro na Falme za Kiarabu - UAE katika kuendesha miradi sehemu zingine za dunia kwanini hapa Tanzania wana hofu ...
Hawa watakuwa mawakili wa mahakama ya kadhiMawakili wenyewe wote kumbe ni ELIMU AKHERA?
Umeona mbali sana Mkuu , Kwa staili hii sioni Chama kubwa aking’olewa madarakani for another 60 years to come !!Mdogo mdogo udini unazidi kukomaa.Mbinu za chama kubwa ku divaidi eni rulu ili watu wazidi kupiga.Naihurumia Tanzania ya kesho.We are uncontrollably going astray.
Kwa Uzwazwa !Tanzania inabidi tuwekwe kwenye book of Guinness