Jordan mfalme wao HAPENDWI NA RAIA WAKE,hivyo usalama wa utawala wake ni kumshikilia USA.Jordan aliisha chungulia akaona Israel ndiyo usalama wake ulipo, kujiunga na magaidi na mihemko yao inaweza kujipoteza bila sababu ya msingi.
Ni nani amejitambulisha kuwa yeye ni mkristo?wakiristo wa Jf wanafuraha, sijui kwanini?
Unajuaje atalindwa na mshirika mkuu wa Israel, Marekani?Jordan atalindja ya nchi dhaifu sana na ya kinafiki hapo mashariki ya kati.Na maguvu ya kifalme ndiyo yanafanya kazi.
Hali ikichafuka zaidi hawataweza kujilinda wala kuilinda Israel.
Unajuaje atalindwa na mshirika mkuu wa Israel, Marekani?Jordan atalindja ya nchi dhaifu sana na ya kinafiki hapo mashariki ya kati.Na maguvu ya kifalme ndiyo yanafanya kazi.
Hali ikichafuka zaidi hawataweza kujilinda wala kuilinda Israel.
Vita sikia tu mwenzako. Sio kitu kizuri kabisaTulisema tuombe vita ya kirafiki na jirani yeyote mwembamba mrefu wakakaa kimya
😄😄😄Tutapiga kombora moja hapo Jordan wakati wanahangaika kulizima sisi tunapitisha makombora elfu 1
Brain BossIsrael sijui ana Siri gani?
Anatetewa hadi mwarabu!
Sijui ana ushawishi gani?
No way wayajenge kwanza🤣 🤣 🤣
Unajua kwamba Hadi Leo Syria, Iraq, Yemen kuna vita za wenyewe kwa Wenyewe.
Hizo tatu vita zake zina maslahi tofauti kwa kila nchi ya Kiarabu
Lebanon wanamkataba wa kugawana Madaraka Kati ya Wasunni, Washia, na Wakristo.
Una maana hiyo dola itakuwa na mfumo kama wa Taliban??Kuna uCaliphate utasimama kabla Dunia haijafika Tamati.
Us pumzi zimeshakata,kwasasa ni kama Mapogo Family tu.
Usichukulie poa Islam!!.
Kuna Empire kubwa uko mbele itakuja simamishwa na hawa Jamaa.
No one know. Military operations are strictly secret unless you unlock their secrets.HOw many missile defense system bombs do they have??
Mtu akikaa na kuisoma biblia vizuri hasa agano la kale. Anaweza kuelewa kwanin Israel wanajiamini walitabiriwa mengi na ndio wanaishi nayo.Pia Fatiria uzao wa Edom au Esau Pacha wake na yakobo (Israeli) alikaa wapi ndipo jibu utapata
😪😪of course ndiyo empire ya mpinga Kristo, mfano wa ISIS ndio maana hata wanaposambaa ulaya utakuta wamebeba bendera ya caliphate ndio ISIS wanaitumia. mpinga kristo atafanya yote wanayofanya ISIS, KUCHINJA wanadamu wanaomwamini Yesu, ama umkane Yesu ama uchinjwe, n.k. kwahiyo ukiona uislam unaenda ulaya na duniani kote jua mwisho umekaribia. ni dini ya kiislam tu ndio ina uwezo kuchinja mtu asiye wa dini yao, nyingine ni ipi? kuchinja shingoni kabisa.
Matatizo ya sasa ya middle east yalianza kuanzia wakati Ottoman Empire inatawala then ukoloni wa Uingereza/Ufaransa ukarithi yakiwa very complicated.Aiseee nilikua sijui hili.
Huu mfumo wa kugawana madaraka kwa misingi ya dini we unaonaje liko sawa kweli kwa ustawi wa taifa?
Ahadi ya Mungu kwa Israel.
Inakuwa ya kirafiki mkuuUnajuaje atalindwa na mshirika mkuu wa Israel, Marekani?
Vita sikia tu mwenzako. Sio kitu kizuri kabisa
Kila la heri Israel na sisi wafuasi wake.
Kabisa.Una maana hiyo dola itakuwa na mfumo kama wa Taliban??
Wanajua kipigo cha mbwa mwizi kitawakuta wakati wao ni wapenzi watazamaji.Jordan wamegunduwa siri
Unaamini hiyo dola ikishika hatamu itatoa fair treatment kwa imani zote?Kabisa.
na hao ndiyo waislam halisi,achana na hawa Moden Muslims.
Hakuna vita ya kirafiki labda tufanye drillsInakuwa ya kirafiki mkuu