Jordan yasema itatungua kombora lolote litakalopita kwenye anga lake kwenda kuishambulia Israel

Jordan yasema itatungua kombora lolote litakalopita kwenye anga lake kwenda kuishambulia Israel

Jordan atalindja ya nchi dhaifu sana na ya kinafiki hapo mashariki ya kati.Na maguvu ya kifalme ndiyo yanafanya kazi.
Hali ikichafuka zaidi hawataweza kujilinda wala kuilinda Israel.
Unajuaje atalindwa na mshirika mkuu wa Israel, Marekani?
 
Jordan atalindja ya nchi dhaifu sana na ya kinafiki hapo mashariki ya kati.Na maguvu ya kifalme ndiyo yanafanya kazi.
Hali ikichafuka zaidi hawataweza kujilinda wala kuilinda Israel.
Unajuaje atalindwa na mshirika mkuu wa Israel, Marekani?
Tulisema tuombe vita ya kirafiki na jirani yeyote mwembamba mrefu wakakaa kimya
Vita sikia tu mwenzako. Sio kitu kizuri kabisa
 
🤣 🤣 🤣

Unajua kwamba Hadi Leo Syria, Iraq, Yemen kuna vita za wenyewe kwa Wenyewe.

Hizo tatu vita zake zina maslahi tofauti kwa kila nchi ya Kiarabu

Lebanon wanamkataba wa kugawana Madaraka Kati ya Wasunni, Washia, na Wakristo.
No way wayajenge kwanza
 
Pia Fatiria uzao wa Edom au Esau Pacha wake na yakobo (Israeli) alikaa wapi ndipo jibu utapata
Mtu akikaa na kuisoma biblia vizuri hasa agano la kale. Anaweza kuelewa kwanin Israel wanajiamini walitabiriwa mengi na ndio wanaishi nayo.
 
of course ndiyo empire ya mpinga Kristo, mfano wa ISIS ndio maana hata wanaposambaa ulaya utakuta wamebeba bendera ya caliphate ndio ISIS wanaitumia. mpinga kristo atafanya yote wanayofanya ISIS, KUCHINJA wanadamu wanaomwamini Yesu, ama umkane Yesu ama uchinjwe, n.k. kwahiyo ukiona uislam unaenda ulaya na duniani kote jua mwisho umekaribia. ni dini ya kiislam tu ndio ina uwezo kuchinja mtu asiye wa dini yao, nyingine ni ipi? kuchinja shingoni kabisa.
😪😪
 
Aiseee nilikua sijui hili.
Huu mfumo wa kugawana madaraka kwa misingi ya dini we unaonaje liko sawa kweli kwa ustawi wa taifa?
Matatizo ya sasa ya middle east yalianza kuanzia wakati Ottoman Empire inatawala then ukoloni wa Uingereza/Ufaransa ukarithi yakiwa very complicated.

Ottoman wakati inatawala middle east ilikuwa na sera ya kuwahamisha Watu wa Mashariki ya Kati sehemu tofauti tofauti na origin yao hili kuondoa uwezekano wa Uprising na mapinduzi.

What happened ni mixture ya Tamaduni tofauti sehemu Moja ambazo haziwezi kuintegrate.

Mfano
Hadi Iraq, Kuwait na Mikoa ya Mpakani mwa Iran na Iraq hawa ni Watu wa aina Moja Lakini walitenganishwa na Ukoloni wa Ottoman na Uingereza/Ufaransa so kila ikitokea Kiongozi Nationalist basi lazima kuwe na vita katika ya hizi nchi na washirika wao.

Labenon na Syria zilipaswa kuwa nchi Moja, au Wakristo wawe na nchi Yao katika Ardhi ya nchi ya Syria na Lebanon, same to Shiite, Sunnis.

Wayahudi walipaswa wapewe Ardhi yote ya Israel, Gaza na Judea na Samaria, South Lebanon Hadi Litani river wapewe Maeneo ya Jordan ya Leo Hadi Mji mkuu wa Jordan ya Leo.

Jordan, Waarabu wa Palestina, Iraq wapewe nchi Moja Katika Ardhi ya Jordan, Iraq, na Saudi Arabia.

Saudi Arabia na Yemen zilipaswa ziwe nchi Moja.

Bahrain ipewe Washia wa Iran.

But Wazungu walijua na kuliona hili tatizo litakuja na kuendelea kuwatesa Watu wa Mashariki ya Kati so hawakulisolve baada ya WWII
 
20240803_105731.jpg
 
Back
Top Bottom