Jose Chameleone: Siko katika Levo ya Kuomba Collabo na Diamond Platnumz

Kule siruhusu mtu kuingia mpaka aombe kibali. Itikia tu hivyohivyo hata kama ni ya kizamani!
sawa, i understand...ngoja nijaribu kuitikia hiyo habari: mimi sijambo kabisa kabisa!!!
 
Miwani utasema fundi wa welding.
Mkuu Kiranga ile Homeland 4 ulipata wasaa wa kuiangalia? Kama bado, look for it... ilianza kwa kusuasua lakini walipofika episode 7, omg, am dying waiting for the next episode... I hate it's less than 15 episodes!!!!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Kiranga ile Homeland 4 ulipata wasaa wa kuiangalia? Kama bado, look for it... ilianza kwa kusuasua lakini walipofika episode 7, omg, am dying waiting for the next episode... I hate it's less than 15 episodes!!!!

Sasa hivi si uongo kuna mi project imejipanga ikifika weekend nakuwa siwezi kuangalia sana series zangu halafu hata DVR sina muda nayo.

Sanasana nitamuangalia Fareed Zakaria na Meet The Press etc kupata newsy items.

Ila Homeland nataka kuirudia. Homeland na Scandal nimeziweka kwenye pause kwa sasa.

Nikipata muda nita binge watch.
 
hii ngoma ilikuwa ikipigwa disco lazima niinuke
 
Last edited by a moderator:

Hivi ni kweli Dai amemkula bosslady???
Mweeee mbona siamini amini!!
 
Hili la wasanii wakubwa kuogopa kufunikwa na wasanii wadogo unanikumbusha Mr. Paul alipoamua kumshirikisha Inspector Haroun! Mr. Paul akafunikwa vibaya mno... baadae akaona isiwe taabu, akairudia nyimbo kwa kuondoa verse alizochana Inspector na kabaki na hii hapa [JFMP3]http://www.eastafricantube.com/media/55764/Mr_Paul_Feat_Inspecta_Haroon_-_Buzi_Remix/[/JFMP3]: Bob Brown na yeye, alishawahi kufanyaga tour akiwa ameambatana na Shabba Ranks, eti unafanya tour na mtu mwenye hii kitu: ... ambacho kilifuata hapo ni maumivu kwa Bobby coz' badala ya watu kuchizika na mwenye tour wakawa wanachizika na mzamiaji!!!
 
Last edited by a moderator:

Hahhahaha ningekuwa msanii ningekubali kufunikwa,kufunikwa kitu gani wakati hata huyo anayenifunika atafanya nisikike niuze
 
Last edited by a moderator:
Vizuri.
Halafu kijana mbona we unalamba ban sana....kulikoni?
Nimeghairi kuendelea kujifanya mstaarabu wakati mtu mwenyewe nimezaliwa na kukulia ushenzini na hadi sasa naishi ushenzini!! Kuna watu wao kila siku silika yao ni matusi... sasa kwangu nimeshasema BIG NO... enough is enough... haitatokea hata siku moja nianze kumtukana au kumtolea mtu maneno machafu lakini akinianza nitampa onyo na akiendelea, my signature says it all and am prepared for anything! Labda nipeleke kwa Gwajima nikaombewe!!!!
 
Mwana Dar es Salaam imeleta yote haya. Hadi watu wanahonga blog za UG kusingizia wameombwa collabo. Uzuri ni kwamba kijana wetu hana aibu, wala hajali huku kutolewa nishai kwamba amezusha kuombwa collabo.
Ova
 

Inaonesha umejidhatiti kwa hilo.
Kwa mtazamo wangu it does not sound kwa sababu kuna sehemu zingine huwa nakuona unakomaa tu unnecessarily ilhali ulitakiwa upite kama hujaona vile.

Ok....its your life/choice anyway!
 
Inaonesha umejidhatiti kwa hilo.
Kwa mtazamo wangu it does not sound kwa sababu kuna sehemu zingine huwa nakuona unakomaa tu unnecessarily ilhali ulitakiwa upite kama hujaona vile.

Ok....its your life/choice anyway!
KUna sehemu huwa huwa unaona nazikomalia kivipi?? Kwanza huwezi hata mara moja kunikuta na-quote message isiyonihusu nikaanza kutoa lugha chafu... popote nilipotoa lugha chafu lazima, I REPEAT, LAZIMA Mtu atakuwa ameni-quote tena wakati mwingine kwa message ambayo wala hujamwandikia yeye na wala si ya kumchukiza yeyote lakini bado anao-opt kuku-quote na kukutukana.... unamkanya kuacha matusi lakini bado anaendelea, come on... am not that good guy!!! Siwezi kujifanya muungwana kiasi hicho ili mradi tu nionekane muungwana wakati moyoni naumia!! And you know what, kama hayajakukuta ni rahisi sana mtu kusema kama unayosema lakini trust me, siku yakikukuta utakuwa mtu mwingine... humu jamvini kuna watu nawakubali... siwafahamu but they seem to be very decent lakini kuna siku nimeshawahi kuwashuhudia ustaarabu umewashinda... mtu anaibuka tu from nowhere anaanza kukutukana... ombea tu yasisikukute lakini inakera!! Wapo watu ambao hata wakikutukana unaweza kujiuliza kulikoni, labda tu huyu leo ameamka vibaya au kweli umemkera lakini kuna wengine hiyo ndo kazi yao... yaani unajua kabisa kwamba ana bifu na wewe kwahiyo akikukuta, iwe umetaja yeye au hujamtaja, lazima akutukane!! Mimi ni mwanaume niliyekamalika idara zote... kwahiyo hawezi mtu kuibuka from nowhere halafu aseme naf'irwa na Diamond halafu eti nipotezee tena mbaya zaidi, wakati ameshasema tena hivyo siku chache tu ziizopita wakati hujamfanya chochote!!!!

Kuhusu kujizatiti... you're right 101%... NIMEGHAILI kujifanya muungwana hususani kama ushe*nzi unafanywa na mtu huyo huyo kila wakati hata kama umeshamkanya kwamba aache matusi!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…