Taswira hiyo ni ya Marekani?Keshapelekwa Marekani ambako mateja wanahudumiwa kama wagonjwa.
Serikali italipia gharama zote za matibabu yake akiwa huko.
Keshapelekwa Marekani ambako mateja wanahudumiwa kama wagonjwa.
Serikali italipia gharama zote za matibabu yake akiwa huko.
Kuna mahali nimesema hapo ni Marekani? Nimesema keshapelekwa Marekani.Taswira hiyo ni ya Marekani?
UKIMWI siyo ishu Sana... Sema hizo Pombe na madawa ya kulevya (Kwa mujibu wa mtoto wake) ndizo tatizo.Ukimwi then anakula na pombe kupita kias
Ndo nani?Nime kuwa nikiona picha za huyu gwiji wa muziki katika eneo hili la E.Africa akiwa hospitalini kwakweli hali yake inasiktisha.
Kwani amepatwa na nini?
View attachment 3185132
Lakini kwa huo ugonjwa hamna cha yuda au nini.Bayuda tulikanabo maratuseka nabo
Tubamanyi tutabagamba
Watu walioimba mziki wa maana kama fizikia kama huyu kljamaa hauwajuiNdo nani?
Hahaha merry ChristmasWatu walioimba mziki wa maana kama fizikia kama huyu kljamaa hauwajui
Ila unawajua janjajanja arts kina Zuchu wanaoimba Cha!pa!ti! Siendii