Jose Chamilioni amepatwa na nini aisee?

Jose Chamilioni amepatwa na nini aisee?

ITR

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2022
Posts
6,096
Reaction score
16,390
Nime kuwa nikiona picha za huyu gwiji wa muziki katika eneo hili la E.Africa akiwa hospitalini kwakweli hali yake inasiktisha.

Kwani amepatwa na nini?

1735153811302.jpg


Pia Soma: Mtoto wa Jose Chameleone: Baba yangu afya yake si nzuri, lakini waandaaji hawa wanaendelea kumualika na kumtumia kama chombo cha kuzalisha pesa
 
Keshapelekwa Marekani ambako mateja wanahudumiwa kama wagonjwa.

Serikali italipia gharama zote za matibabu yake akiwa huko.

Ukimwi then anakula na pombe kupita kias

Niliwaambia watu kipindi kile ameanguka akiwa amelala kuwa ni pombe .

Yeye alisema alikuwa amerogwa akaandik na nyimbo inaitwa Abayuda akimaanisha watu wabaya wanafiki na walozi
 
Back
Top Bottom