Jose Mourinho , kocha anayebebwa na pesa za usajili

Jose Mourinho , kocha anayebebwa na pesa za usajili

Moyes, Van Gaal wote walipewa pesa. Kama anakuja mtu anayejua kuzitumia pesa basi it's all good. Man u haijawahi kuwa club masikini!
 
Pesa zimeshindwa kuwabeba Pelegrin na LVG.!!

Kwa kusema. haya machache nadhani kunakitu umejifunza, sinasababu ya kujaza kurasa kulielezea hili..!! Hii ni soka.

BACK TANGANYIKA
Van Gaal hakupewa hela ya maana lakini Manuel Pellegrin aliangushwa na menejiment ya Man city , ni kama walimdharau hivi , ushahidi ni kile kitendo chao cha kumtangaza guardiolla mapema ile .
 
Van Gaal hakupewa hela ya maana lakini Manuel Pellegrin aliangushwa na menejiment ya Man city , ni kama walimdharau hivi , ushahidi ni kile kitendo chao cha kumtangaza guardiolla mapema ile .

LVG hakupewa hela ya maana ya Usajili???

Paund 180 msimu wa kwanza, Pound 250 msimu wa pili siyo hela ya maana..... gossshhhhhhh, hivi hela ya maana ni kiasi gani basii???

Ndiomaana nikasema "hii ni soka mkuu" hebu waulize wanaojua.

Ilitumikaje ?
 
FC Porto pia alibebwa na pesa za Utajir? Inter Milan alichukua kikombe akiwa na na wachezaji wangapi ma stars? Chelsea & Madrid kocha hana namna.. Ma boss ndio wanaleta wachezaji
 
So pumba hilo Inter Milan Ulikuwa na wachezaji wakubwa Etoo,materazi,Walter samwel,n.k
Walter Samuel alikuwa ni mchezaji wa kawaida sana baada ya kutoka Madrid, nilichoshangaa ni ujinga aliomjaza Diego Milito..... Alicheka na nyavu Hatare.
 
Ukiangalia wanaobwabwaja juu ya ujio wa mourinho Manchester ni mashabiki wa babu Wenger na Barcelona,

Wenger anaelewa kabisa kishapoteza
Point 6 kwa mourinho
Point 6 kwa pep
Point 4 kwa kloop
( atapigwa ugenini na kudroo emirate)
Point tatu kwa conte

Ukijumlisha hata kabla ligi haijaanza kisha poteza point kama 20 hivi, hapo bado Southampton, spurs, stoke, westham et al, kinachobaki nikukomaa na point za wanyonge wake kama Watford
 
wenger anasajili,na akichukua wachezaj wa maana sioni wa kumbabaisha,sio EPL sio UEFA,hakuna anaemfikia wenger uwezo,tatizo huwa ni usajili,huyo mourinho anachokiweza kwa wenger kupak basi tu,na hata ferguson alikua hivyo
 
Back
Top Bottom