Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Van Gaal hakupewa hela ya maana lakini Manuel Pellegrin aliangushwa na menejiment ya Man city , ni kama walimdharau hivi , ushahidi ni kile kitendo chao cha kumtangaza guardiolla mapema ile .Pesa zimeshindwa kuwabeba Pelegrin na LVG.!!
Kwa kusema. haya machache nadhani kunakitu umejifunza, sinasababu ya kujaza kurasa kulielezea hili..!! Hii ni soka.
BACK TANGANYIKA
Van Gaal hakupewa hela ya maana lakini Manuel Pellegrin aliangushwa na menejiment ya Man city , ni kama walimdharau hivi , ushahidi ni kile kitendo chao cha kumtangaza guardiolla mapema ile .
Ilitumikaje ?LVG hakupewa hela ya maana ya Usajili???
Paund 180 msimu wa kwanza, Pound 250 msimu wa pili siyo hela ya maana..... gossshhhhhhh, hivi hela ya maana ni kiasi gani basii???
Ndiomaana nikasema "hii ni soka mkuu" hebu waulize wanaojua.
BACK TANGANYIKA
Unatuuliza sisi, Muulize LVG mwenyewe. Na sisi tutamuuliza Morinyo.Ilitumikaje ?
muhurumie rashford na yule anaekimbia kama choko,huenda ndio mwisho wa mpira wao,maana jamaa anapenda mitulinga na nguvukazi,anachokijua kupaki basi tuNaihurumia sana Man U
tofautisha ndondokela na uwezo,alibahatisha tuKwaio alivyochukua uefa na fc porto yenye thamani ya £16 mil.. alisaidiwa na ela za usajili????
Kajipange... utunge hadithi upya.
Sasa port ilikuwa nawachezaji wadogo wale,Mkuu alivyokua Porto na Inter Milan alibebwa pia?
So pumba hilo Inter Milan Ulikuwa na wachezaji wakubwa Etoo,materazi,Walter samwel,n.kINTERMILAN UNADHANI NI TIMU NDOGO
Nenda kalaleNdio ni team ndogo
SawaNenda kalale
Walter Samuel alikuwa ni mchezaji wa kawaida sana baada ya kutoka Madrid, nilichoshangaa ni ujinga aliomjaza Diego Milito..... Alicheka na nyavu Hatare.So pumba hilo Inter Milan Ulikuwa na wachezaji wakubwa Etoo,materazi,Walter samwel,n.k
wenger anasajili,na akichukua wachezaj wa maana sioni wa kumbabaisha,sio EPL sio UEFA,hakuna anaemfikia wenger uwezo,tatizo huwa ni usajili,huyo mourinho anachokiweza kwa wenger kupak basi tu,na hata ferguson alikua hivyoUkiangalia wanaobwabwaja juu ya ujio wa mourinho Manchester ni mashabiki wa babu Wenger na Barcelona,
Wenger anaelewa kabisa kishapoteza
Point 6 kwa mourinho
Point 6 kwa pep
Point 4 kwa kloop
( atapigwa ugenini na kudroo emirate)
Point tatu kwa conte
Ukijumlisha hata kabla ligi haijaanza kisha poteza point kama 20 hivi, hapo bado Southampton, spurs, stoke, westham et al, kinachobaki nikukomaa na point za wanyonge wake kama Watford