Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Kuna mtu yupo Dar ana asili ya Arusha ndiye steering wa hiyo movie.Kundi kama hili kule Uganda ya Amini lilikuwa likiongozwa na Maliyamungu sasa hapa sijui linaongozwa na nani?!
Mbona taarifa nyingi
Vyombo vya ulinzi vipewe nafasi vifanye uchunguzi vilete taarifa
Wameshasema wanachunguza sasa jamii itulie isubiri taarifa
Matamko yanatosha sasa
Tutamsaidiaje rais wakati yeye ni mtuhumiwa namba moja. Ilikuwaje akamrudisha Bashite madarakani wakati ana tuhuma nzito za kushiriki utekaji na mauaji? Haipendezi wazee kama wewe kuwa chawaTAARIFA YA TAASISI YA MWALIMU NYERERE KWA VYOMBO VYA HABARI KUHUSU TABIA MBAYA ZINAZOHATARISHA USALAMA WA MAISHA YA WATANZANIA NA MALI ZAO
Ndugu wanahabari nimewaiteni hapa, kuwaombeni kwanza; muisaidie Taasisi ya Mwalimu Nyerere kuwataarifu Watanzania wote na kuwaomba sisi sote tushirikiane kuunga mkono kwa dhati Rais wetu Mhe. Dr. Samia Suluhu Hassan kwa jitihada anazofanya za kukomesha tabia mbaya zilizozuka katika Taifa letu za kulawiti, kuteka, kunyanyasa na kuua Watanzania wenzetu.
Tunaye Rais mmoja tu sio wawili wala watatu tuliye mkabidhi Katiba ya nchi yetu ili aitumie kuongoza Taifa letu na kulinda na kuhakikisha usalama wa Watanzania wote na wageni halali wanaoingia katika Taifa letu, na pia kulinda mali zetu. Huu ni wajibu wa Kikatiba wa Rais wetu anautekeleza kwaniaba yetu tumuunge mkono bila maswali.
Pili: kupendekeza kwa Watanzania wote, wananchi na viongozi, kukubali kwamba Taifa letu si la wauaji wala la wahuni, ni Taifa la watu wanaoishi kwa kuzingatia Katiba ya nchi yetu na sheria zinazotokana na Katiba hiyo sisi sote tunao wajibu wa kufuata na kutii Katiba yetu na sheria zote zinazotokana Katiba hiyo, na ambazo hazikiuki Katiba. Hakuna nafasi wala ruhusa kwa raia yoyote wa nchi hii kuishi nje ya utaratibu huu. Huu ndio msingi wa amani, umoja, na maendeleo yanayo shirikisha wananchi wote kwa faida yao. Kwa maana hii, sisi Watanzania ni wastaarabu.
Tusiseme hatuwajui wahalifu hao, tunawajua. Wanaishi miongoni mwetu na katika kaya zetu, wako ndani ya vyombo vyetu vya dola, wako makanisani na katika misikiti. Tunawajua, lazima serikali yetu iwajue. Kwahiyo Taasisi ya Mwalimu Nyerere inaomba tumsaidie Rais kupata taarifa sahihi kuhusu wabaya wetu hao ili achukue hatua stahili. Anavyo vyombo vya dola vyenye majukumu mahsusi ya kumpa taarifa za uhakika. Nchi yetu imeviwezesha kuwa na uwezo wa kutosha wa utaalamu na
Ukifikia Levo Fulani diplomasia ndiyo kila kitu. Mzee kaongea mambo magumu Sana lakini Kwa lugha ya kidplomasia.Hawa jamaa bhana....
Umemuelewa Mzee Butiku?Tutamsaidiaje rais wakati yeye ni mtuhumiwa namba moja. Ilikuwaje akamrudisha Bashite madarakani wakati ana tuhuma nzito za kushiriki utekaji na mauaji? Haipendezi wazee kama wewe kuwa chawa
Wakiishafanya mambo yao ya aibu kuteka kutesa na kuua watu hukimbilia kwenye media kama JF na kujitekenya na kuchelekelea huku wakiandika ujinga mtupu.Unajiabisha kuita taarifa ya Mzee Butiku kuwa ni taarifa za barabarani. Labda uwe humjui Mzee Butiku na nafasi yake kwenye vyombo vya Ulinzi na usalama vya nchi hii.
Mtu wa barabarani anaweza kuwa Mzee Butiku?
Kundi kama hili kule Uganda ya Amini lilikuwa likiongozwa na Maliyamungu sasa hapa sijui linaongozwa na nani?!
Wizara ya Mambo ya ndani ifumuliwe. Kuna wahunu wengi paleMwenyekiti wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere, Joseph Butiku amewaomba watanzania kushirikiana kupinga vitendo vibaya vya ulawiti, kuteka na kuuawa kwa watanzania vinavyoendelea nchini.
Amesema taifa letu si la wauwaji na wahuni, bali wananchi wanaishi kwa kufuata na kutiii katiba na sheria na wahalifu wanajulikana.
Amedai vyombo vya ulinzi na usalama vina nyenzo za kutosha kubaini wahalifu, na viongozi wa vyombo hivi wasituambie kwamba hawajui kinachoendelea nchini.
Wanazi wengi walokuwa wakitekeleza kazi za Adolf Hitler wengi wamekuwa wakikamatwa wakiwa wazee hata umri wa miaka 100 ni lazima wafikishwe mahakamani.Huyu mtu Maliyamungu wa Tanzania na wenzie, inatakiwa apatikane, hata kwa kutolewa 'sadaka' si kwa kuuawa bali wafikishwe mahakamani na kuhukumiwa baada ya vyombo rasmi vya ulinzi na usalama kupewa meno kuwakamata ili amiri jeshi mkuu asalimike na fedheha hii kwa taifa, ijulikane kama je viliundwa na mtangulizi kiasi rais aliyepo anaagwaya kuvikabili.
Lakini umma wa ndani tayari kupitia kelele za wananchi zinampa mamlaka rais awashughulikie kwa mujubu wa sheria Maliyamungu na wavuta bangi wenzie wote waliopo katika Task Force.
Spika alidai hakuna utekaji. Alifoka sana.TAARIFA YA TAASISI YA MWALIMU NYERERE KWA VYOMBO VYA HABARI KUHUSU TABIA MBAYA ZINAZOHATARISHA USALAMA WA MAISHA YA WATANZANIA NA MALI ZAO
Ndugu wanahabari nimewaiteni hapa, kuwaombeni kwanza; muisaidie Taasisi ya Mwalimu Nyerere kuwataarifu Watanzania wote na kuwaomba sisi sote tushirikiane kuunga mkono kwa dhati Rais wetu Mhe. Dr. Samia Suluhu Hassan kwa jitihada anazofanya za kukomesha tabia mbaya zilizozuka katika Taifa letu za kulawiti, kuteka, kunyanyasa na kuua Watanzania wenzetu.
Tunaye Rais mmoja tu sio wawili wala watatu tuliye mkabidhi Katiba ya nchi yetu ili aitumie kuongoza Taifa letu na kulinda na kuhakikisha usalama wa Watanzania wote na wageni halali wanaoingia katika Taifa letu, na pia kulinda mali zetu. Huu ni wajibu wa Kikatiba wa Rais wetu anautekeleza kwaniaba yetu tumuunge mkono bila maswali.
Pili: kupendekeza kwa Watanzania wote, wananchi na viongozi, kukubali kwamba Taifa letu si la wauaji wala la wahuni, ni Taifa la watu wanaoishi kwa kuzingatia Katiba ya nchi yetu na sheria zinazotokana na Katiba hiyo sisi sote tunao wajibu wa kufuata na kutii Katiba yetu na sheria zote zinazotokana Katiba hiyo, na ambazo hazikiuki Katiba. Hakuna nafasi wala ruhusa kwa raia yoyote wa nchi hii kuishi nje ya utaratibu huu. Huu ndio msingi wa amani, umoja, na maendeleo yanayo shirikisha wananchi wote kwa faida yao. Kwa maana hii, sisi Watanzania ni wastaarabu.
Tusiseme hatuwajui wahalifu hao, tunawajua. Wanaishi miongoni mwetu na katika kaya zetu, wako ndani ya vyombo vyetu vya dola, wako makanisani na katika misikiti. Tunawajua, lazima serikali yetu iwajue. Kwahiyo Taasisi ya Mwalimu Nyerere inaomba tumsaidie Rais kupata taarifa sahihi kuhusu wabaya wetu hao ili achukue hatua stahili. Anavyo vyombo vya dola vyenye majukumu mahsusi ya kumpa taarifa za uhakika. Nchi yetu imeviwezesha kuwa na uwezo wa kutosha wa utaalamu na
Acha ujinga mkuu please!Mbona taarifa nyingi
Vyombo vya ulinzi vipewe nafasi vifanye uchunguzi vilete taarifa
Wameshasema wanachunguza sasa jamii itulie isubiri taarifa
Matamko yanatosha sasa
Ndicho alichokisema Mzee Butiku. Na nimependa anapowalaumu waandishi wa habari kupenda kutafuniwa Kila kitu.Masauni,Wambura,DG wa TISS Walitakiwa wawe wamejiuzuru mpaka muda huu. Lakini hawana aibu wameshupaza shingo wakisubiri upepo upite.
Hauna akili.Mbona taarifa nyingi
Vyombo vya ulinzi vipewe nafasi vifanye uchunguzi vilete taarifa
Wameshasema wanachunguza sasa jamii itulie isubiri taarifa
Matamko yanatosha sasa
Taarifa za Lissu, Azory Gwanda na Ben Saanane ziko wapi? Au bado wanachunguza??Mbona taarifa nyingi
Vyombo vya ulinzi vipewe nafasi vifanye uchunguzi vilete taarifa
Wameshasema wanachunguza sasa jamii itulie isubiri taarifa
Matamko yanatosha sasa
Mzee Butiku ana busara sana na anawafahamu waandishi wetu wa habari na tabia zao hivyo amezungumza kwa level yao.Ndicho alichokisema Mzee Butiku. Na nimependa anapowalaumu waandishi wa habari kupenda kutafuniwa Kila kitu.
Masikini Chadema, masikini TzKuna mtu yupo Dar ana asili ya Arusha ndiye steering wa hiyo movie.
CHADEMA wanamdharau lakini yupo Dar kwa kazi maalum ya kuwamaliza na wengine wanadhani ni rafiki Yao kumbe ndiye mhandisi wa haya mambo.
Kama haya yanayo endelea vyombo vya usalama hawajui basi ita fika siku wahuni wata ingia Ikulu bila wao kuwa na taarifa na wata sema wana chunguza hao wahuni wameingia je Ikulu.Mbona taarifa nyingi
Vyombo vya ulinzi vipewe nafasi vifanye uchunguzi vilete taarifa
Wameshasema wanachunguza sasa jamii itulie isubiri taarifa
Matamko yanatosha sasa
Wanazi wengi walokuwa wakitekeleza kazi za Adolf Hitler wengi wamekuwa wakikamatwa wakiwa wazee hata umri wa miaka 100 ni lazima wafikishwe mahakamani.
Hivyo ipo siku moja watapatikana.