Hukutaka tu/hutaki kujibu swali ambalo liko 'straight forward' kabisa, sijui kwa sababu zipi hasaKivipi,
Sasa Mzee Kingunge mbwa umfuge mwenyewe, Badala ya kung'ata waizi ,anang'ata wanao nawe huna habari!!
mimi ntaendelea kuwatetea kama watu wanaona hiyo kazi ni rahisi, wasomeshe watoto wao waende kuwa waandishi wa habari aina ya wanaowataka wao. Akina Kubenea walimwagiwa tindikali, kina Mwangosi walipigwa risasiWaandishi ni waandishi tu kabla ya kuwaweka kimahsusi.
Kanuni za kiuandishi ni zile zile isipokuwa mbinu za kutafuta habari ndiyo hutofautiana.
Waandishi wetu wanashangaza maana sehemu muhimu ya habari ni kuweka urari. Wao wanaikwepa Kwa hofu za kukosa maslahi na Wala si kwa hofu ya kuuawa.
Kwa mfano nani alikuwa mwandishi wa habari za kiuchunguzi.Walitekwa na kuumizwa na wengine wameuawa kabisa
Wewe utapenda haki zako ziporwe huku unaangalia tu?mimi ntaendelea kuwatetea kama watu wanaona hiyo kazi ni rahisi, wasomeshe watoto wao waende kuwa waandishi wa habari aina ya wanaowataka wao. Akina Kubenea walimwagiwa tindikali, kina Mwangosi walipigwa risasi
Nchi kama hii haiko tayari kuwa na free and open press. They have adapted.
Wewe ni sehemu ya tatizo ndani ya nchi hii.mimi ntaendelea kuwatetea kama watu wanaona hiyo kazi ni rahisi, wasomeshe watoto wao waende kuwa waandishi wa habari aina ya wanaowataka wao. Akina Kubenea walimwagiwa tindikali, kina Mwangosi walipigwa risasi
Nchi kama hii haiko tayari kuwa na free and open press. They have adapted.
kina Kabendera walifanywa nini. Si aliripoti kilichohaririwa kabisa na bado akatiwa nguvuni.Kwa mfano nani alikuwa mwandishi wa habari za kiuchunguzi.
Hata hivyo Mzee Butiku hazingumzii uandishi wa kiuchunguzi.
Natamani kumjuaKuna mtu yupo Dar ana asili ya Arusha ndiye steering wa hiyo movie.
CHADEMA wanamdharau lakini yupo Dar kwa kazi maalum ya kuwamaliza na wengine wanadhani ni rafiki Yao kumbe ndiye mhandisi wa haya mambo.
Umemchana mzee wa watu? Hao kina Butiku ni wanufaika wa Katiba hii mbovu.kina Kabendera walifanywa nini. Si aliripoti kilichohaririwa kabisa na bado akatiwa nguvuni.
Alafu huyo mzee Butiku anataka ujasiri upi? Yeye na wazee wenzake walichekelea mtu kuwatawala kwa miaka 24 na akawa anawafunga wenzao waliokuwa na mitazamo tofauti, mpaka alipojiuzulu mwenyewe alafu anataka vijana sasa hivi wapambane? Asking courage from descendants of cowards
Lakini wao ni sawa tu na mvua. Huwezi kuilaumu kunyesha bila ya wewe kulima.Umemchana mzee wa watu? Hao kina Butiku ni wanufaika wa Katiba hii mbovu.
Wasitake kutafuta sifa mbele ya wafiwa
Hebu taja watu waliofungwa Kwa kuwa na mitizamo tofauti na Nyerere?...eye na wazee wenzake walichekelea mtu kuwatawala kwa miaka 24 na akawa anawafunga wenzao waliokuwa na mitazamo tofauti, mpaka alipojiuzulu mwenyewe...
kwaiyo mzee Butiku amedanganya? si kasema mwenyewe? kamuulize awataje. kuna watu walipigwa exileHebu taja watu waliofungwa Kwa kuwa na mitizamo tofauti na Nyerere?
Hizi stori za vijiweni msilete hapa JF.
Kwa hiyo ndo wameanza baada ya msiba huu,?? Hivi Donald Trump aliponusurika kuuawa ni Biden ndio aliamuru uchunguzi? Mbona FBI walianza kazi mara moja,na isitoshe mkurugenzi wa secret service alijiuzuru mara moja kabla ya taarifa ya uchunguzi,hapa mbunge alishambuliwa kwa risasi mchana kweupe hakuna aliyewajibika mpaka leo,ni wazi siye tunaigiza utawala bora japo kiuhalisia hatuna huo utawala bora.Mbona taarifa nyingi
Vyombo vya ulinzi vipewe nafasi vifanye uchunguzi vilete taarifa
Wameshasema wanachunguza sasa jamii itulie isubiri taarifa
Matamko yanatosha sasa
Alichosema mzee Butiku, kinazuia huo uchunguzi au kuharibu uchunguzi ?Mbona taarifa nyingi
Vyombo vya ulinzi vipewe nafasi vifanye uchunguzi vilete taarifa
Wameshasema wanachunguza sasa jamii itulie isubiri taarifa
Matamko yanatosha sasa
Marekani ushahidi ulikuwa wazi mtu whistle blower aliwapigia FBI kuwa kuna kijana juu ya jengo ana bunduki anakaa mlengo wa kukenga podium ya mgombea Trump kwa nia ovuKwa hiyo ndo wameanza baada ya msiba huu,?? Hivi Donald Trump aliponusurika kuuawa ni Biden ndio aliamuru uchunguzi? Mbona FBI walianza kazi mara moja,na isitoshe mkurugenzi wa secret service alijiuzuru mara moja kabla ya taarifa ya uchunguzi,hapa mbunge alishambuliwa kwa risasi mchana kweupe hakuna aliyewajibika mpaka leo,ni wazi siye tunaigiza utawala bora japo kiuhalisia hatuna huo utawala bora.
Marekani ushahidi ulikuwa wazi mtu whistle blower aliwapigia FBI kuwa kuna kijana juu ya jengo jirani mhuni ana bunduki anakaa mlengo wa kulenga podium ya mgombea TrumpKwa hiyo ndo wameanza baada ya msiba huu,?? Hivi Donald Trump aliponusurika kuuawa ni Biden ndio aliamuru uchunguzi? Mbona FBI walianza kazi mara moja,na isitoshe mkurugenzi wa secret service alijiuzuru mara moja kabla ya taarifa ya uchunguzi,hapa mbunge alishambuliwa kwa risasi mchana kweupe hakuna aliyewajibika mpaka leo,ni wazi siye tunaigiza utawala bora japo kiuhalisia
Asante imenifikia.Nakala imfikie Pascal Mayalla
Tuiombe Scotland Yard itusaidie katika hili !mhalifu hawezi kujichunguza
Alie elewa hii press aje kwenye mjadala ,nimejitakasa nipo kiroho sana, hao waliomzungukaa mzee Butiku mnasemaje ,body language zao? ,anaongea Bwana sio mie 4 7 mbatizajiTutamsaidiaje rais wakati yeye ni mtuhumiwa namba moja. Ilikuwaje akamrudisha Bashite madarakani wakati ana tuhuma nzito za kushiriki utekaji na mauaji? Haipendezi wazee kama wewe kuwa chawa