Joseph Butiku: Vyombo vya Ulinzi na Usalama visijifanye havijui mambo yanayoendelea nchini

Joseph Butiku: Vyombo vya Ulinzi na Usalama visijifanye havijui mambo yanayoendelea nchini

Kivipi,

Sasa Mzee Kingunge mbwa umfuge mwenyewe, Badala ya kung'ata waizi ,anang'ata wanao nawe huna habari!!
Hukutaka tu/hutaki kujibu swali ambalo liko 'straight forward' kabisa, sijui kwa sababu zipi hasa
Nimeuliza hilo swali rahisi kwa sababu sijui jibu lake.
 
Waandishi ni waandishi tu kabla ya kuwaweka kimahsusi.

Kanuni za kiuandishi ni zile zile isipokuwa mbinu za kutafuta habari ndiyo hutofautiana.

Waandishi wetu wanashangaza maana sehemu muhimu ya habari ni kuweka urari. Wao wanaikwepa Kwa hofu za kukosa maslahi na Wala si kwa hofu ya kuuawa.
mimi ntaendelea kuwatetea kama watu wanaona hiyo kazi ni rahisi, wasomeshe watoto wao waende kuwa waandishi wa habari aina ya wanaowataka wao. Akina Kubenea walimwagiwa tindikali, kina Mwangosi walipigwa risasi

Nchi kama hii haiko tayari kuwa na free and open press. They have adapted.
 
Wewe utapenda haki zako ziporwe huku unaangalia tu?

Akija mtu kukunyang'anya kiwanja chako au mali yoyote utafanyaje?
 
mimi ntaendelea kuwatetea kama watu wanaona hiyo kazi ni rahisi, wasomeshe watoto wao waende kuwa waandishi wa habari aina ya wanaowataka wao. Akina Kubenea walimwagiwa tindikali, kina Mwangosi walipigwa risasi

Nchi kama hii haiko tayari kuwa na free and open press. They have adapted.
Wewe ni sehemu ya tatizo ndani ya nchi hii.
Kaa pembeni, acha wanaojitoa mhanga wajitoe. Unakuwa kikwazo kwa kutetea uovu.
 
Kwa mfano nani alikuwa mwandishi wa habari za kiuchunguzi.

Hata hivyo Mzee Butiku hazingumzii uandishi wa kiuchunguzi.
kina Kabendera walifanywa nini. Si aliripoti kilichohaririwa kabisa na bado akatiwa nguvuni.

Alafu huyo mzee Butiku anataka ujasiri upi? Yeye na wazee wenzake walichekelea mtu kuwatawala kwa miaka 24 na akawa anawafunga wenzao waliokuwa na mitazamo tofauti, mpaka alipojiuzulu mwenyewe alafu anataka vijana sasa hivi wapambane? Asking courage from descendants of cowards
 
Umemchana mzee wa watu? Hao kina Butiku ni wanufaika wa Katiba hii mbovu.
Wasitake kutafuta sifa mbele ya wafiwa
 
Mbona taarifa nyingi

Vyombo vya ulinzi vipewe nafasi vifanye uchunguzi vilete taarifa

Wameshasema wanachunguza sasa jamii itulie isubiri taarifa

Matamko yanatosha sasa
Kwa hiyo ndo wameanza baada ya msiba huu,?? Hivi Donald Trump aliponusurika kuuawa ni Biden ndio aliamuru uchunguzi? Mbona FBI walianza kazi mara moja,na isitoshe mkurugenzi wa secret service alijiuzuru mara moja kabla ya taarifa ya uchunguzi,hapa mbunge alishambuliwa kwa risasi mchana kweupe hakuna aliyewajibika mpaka leo,ni wazi siye tunaigiza utawala bora japo kiuhalisia hatuna huo utawala bora.
 
Marekani ushahidi ulikuwa wazi mtu whistle blower aliwapigia FBI kuwa kuna kijana juu ya jengo ana bunduki anakaa mlengo wa kukenga podium ya mgombea Trump kwa nia ovu

Wakadharau ile ilikuwa highest breach of security wajadharau ikawa kweli ndio maana hata Biden akajitoa kugombea

Huwezi linganisha na Tanzania ambapo security organs haxikuwa tipped

Ni scenario mbili tofauti
 
Kwa hiyo ndo wameanza baada ya msiba huu,?? Hivi Donald Trump aliponusurika kuuawa ni Biden ndio aliamuru uchunguzi? Mbona FBI walianza kazi mara moja,na isitoshe mkurugenzi wa secret service alijiuzuru mara moja kabla ya taarifa ya uchunguzi,hapa mbunge alishambuliwa kwa risasi mchana kweupe hakuna aliyewajibika mpaka leo,ni wazi siye tunaigiza utawala bora japo kiuhalisia
Marekani ushahidi ulikuwa wazi mtu whistle blower aliwapigia FBI kuwa kuna kijana juu ya jengo jirani mhuni ana bunduki anakaa mlengo wa kulenga podium ya mgombea Trump

Wakadharau ile ilikuwa highest breach of security wajadharau ikawa kweli ndio maana hata Biden kama Rais mgombea akajitoa kugombea kabisa

Huwezi linganisha na Tanzania ambapo security organs hazikuwa tipped

Ni scenario tofauti
 
Tutamsaidiaje rais wakati yeye ni mtuhumiwa namba moja. Ilikuwaje akamrudisha Bashite madarakani wakati ana tuhuma nzito za kushiriki utekaji na mauaji? Haipendezi wazee kama wewe kuwa chawa
Alie elewa hii press aje kwenye mjadala ,nimejitakasa nipo kiroho sana, hao waliomzungukaa mzee Butiku mnasemaje ,body language zao? ,anaongea Bwana sio mie 4 7 mbatizaji
 
Back
Top Bottom