Joseph Kasheku Musukuma achukua Fomu ya kugombea Uspika

Kwa mgongo wa mzee mchonga
 
Nyerere ndie amilfanyia mpango wa upinduaji meza. Bila Nyerere urais angeusikilizia radioni kama mimi na wewe
 
Mbunge wa jimbo la Geita vijijini Dr Joseph Kasheku Musukuma amechukua Fomu ya kugombea uspika wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania katika ofisi ndogo ya CCM Lumumba Dar es salaam
View attachment 2076891
Msukuma apewe kurw za ndiyo kwanz ana PhD jamani mkumbuke hilo🤣🤣🤣
 
Hivi mlinga alikosa ubunge aloo namkubali sana mwamba yule nimgempa uspika.
 
Kingwendu nitamchangia pesa ya form za uspika.

Anatufaa sana huyu kwa kasi yake.
 
Darasa la 7 watapata spika
Ni Darasa la 7 lkn Dr na amechukua fomu ya kuomba uspika was Mbuge mm ni miongoni wa watu wengi tunaona ana manufaa makubwa Sana ya kuwatumikia Wananchi kupitia Muhimili huu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…