Joseph Kasheku Musukuma achukua Fomu ya kugombea Uspika

Joseph Kasheku Musukuma achukua Fomu ya kugombea Uspika

Huyo jamaa ile PhD aliyopewa uchochoroni ndio imempa confidence kihivyo..!!

Lakini yote ni sawa tu kwa sababu kwa hili wanaloita bunge mtu yeyote yule anaweza kuwa spika na labda hata huyo msukuma ni nafuu maanake hakuna bunge pale kwa maana halisi ya neno lenyewe, ile kwa lugha nzuri ni "Halmashauri Kuu ya Ccm".
Pengine yeye ndiye anaweza kuwa bora.
 
Mbunge wa jimbo la Geita vijijini Dr Joseph Kasheku Musukuma amechukua Fomu ya kugombea uspika wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania katika ofisi ndogo ya CCM Lumumba Dar es salaam

Degree holders wote wameatuangusha ktk nafasi ya uspika ukiondoa wale wa miaka ya 2000 kurudi nyuma.

Sasa ni wakati wa kujaribu hawa wa level za kawaida,uzoefu unaonyesha hawa uwa wanakuwa wazuri sana na sio watu wa kujipendekeza
 
Kweli ngoja tuwape nafasi kwanza.
 
Msukuma apewe kurw za ndiyo kwanz ana PhD jamani mkumbuke hilo🤣🤣🤣
CV ya Dr Msukuma ni kubwa sana kichama, kwanza amewahi kushika nafasi ya juu kichama mkoani kwa kuwa mwenyekiti wa CCM wa mkoa, anauzoefu bungeni kwa kuwa mbunge vipindi viwili.Ni mfanyabiashara na mkulima pia.Nadhani kati ya wagombea wengi yeye ni kati ya wachache wenye sifa kuu.Apewe
 
Back
Top Bottom