Wana ndege 7 mpaka sasa... Tumeanza na nyumbani umeiona ile Rubondo?Naiona Mwanza na Geita wakiwa kama Dubai.
Kwa akili ya musukuma hiyo kwake ni bonge la hoja
Hapana. Bei yake na ya bajaji nadhani ya bajaji ni kubwa zaidi. Halafu, kujenga kiwanja cha kutua na kurukia ndege haifikii kujenga kituo cha mabasi yaendayo mikoani kutoka darisalama.Mnao pita pita huko Duniani tusaidieni,
Hivi ndege siku hizi bei zake zimerudi kwenye "Yu Tong".....!
... hahahaha tena eti nae ni mwenyekiti wa ccm mkoa aisee iki chama hawa viongozi wake sijui wanawatoaga chimbo gani!!Kwa akili ya musukuma hiyo kwake ni bonge la hoja
...labda kapigwa chale mpya yuko anatesti uwaziri..kwa hoja ya namna iyo atakua katumwa na babu sio buree aiseeNaona makapi ya bangi bado yamo kichwani!
Ndiyo maana wengi wao ni wachawi... hahahaha tena eti nae ni mwenyekiti wa ccm mkoa aisee iki chama hawa viongozi wake sijui wanawatoaga chimbo gani!!
We hoja yako ni ipi? Zaidi ya kubweka mtandaoni
hapo hakuna mbugeMbunge wa Geita vijijini mh Joseph aka musukuma amesema atapeleka hoja binafsi bungeni ili kila mkoa umiliki ndege zake za kibiashara.
Musukuma amesema hoja yake bungeni itabainisha namna ya ndege hizo zitakavyofanya biashara ili kuwepo na ushindani wa halali wa kibiashara baina ya mkoa na mkoa.
Maendeleo hayana vyama!
Hoa ndo aina ya waBunge tulio peleka bugeni kutuhakilisha.......duh.
Musukuma amesema hoja yake bungeni itabainisha namna ya ndege hizo zitakavyofanya biashara ili kuwepo na ushindani wa halali wa kibiashara baina ya mkoa na mkoa.
Unafikiri shida ni ugumu au urahisi wa kununua ndege kama pipi? Shida ni hayo mawazo kwamba kila mkoa uwe na ndege zake. Yaani amekaa akawaza akaona ni wazo zuri na litawafaa watanzania hivyo likapiganiwe bungeni. Hapa napiga picha wakati amemaliza kuwaza Ile morali mtu unayopata ukipata idea nzuri mpya. Asibezwe mpaka asikilizwe and all in all ni mwakilishi wa wananchi ngoja hoja ikajadiliwe bungeni.Kweli huyu ni darasa la saba. Badala ya kulilia mapato ya mkoa sasa yajikite kujenga mahitaji ya jamii yatika mikoa husika. Yeye anataka kila mkoa ununue ndege. Anafikiri kununua ndege ni kama kununua pipi ? ATCL wanatosha.
Kweli wabunge wengine ni kichekesho mwisho watapeleka muswada wa kuwa kila Mkoa uwe na Rais wakeMbunge wa Geita vijijini mh Joseph aka musukuma amesema atapeleka hoja binafsi bungeni ili kila mkoa umiliki ndege zake za kibiashara.
Musukuma amesema hoja yake bungeni itabainisha namna ya ndege hizo zitakavyofanya biashara ili kuwepo na ushindani wa halali wa kibiashara baina ya mkoa na mkoa.
Maendeleo hayana vyama!
Hahahaaa......!CCM wote kila mmoja anawaza ndege