Msigwa ni mkomavu amepitia changamoto nyingi na zote amezivukaMbona balaa? Hatima ya Msigwa chamani itakuwaje?
Mdakuzi
Kreti 4 na lifti zimemaliza kazi!Kwa mujibu wa Ayo TV Sugu amepata 51% na kumbwaga mchungaji Msigwa aliyepata 49%
Mlale Unono πππ₯πΉ
Kwa ccm inawezekanaMwakani naye diamond platnumz apewe uwaziri π€‘π€‘π€‘π€‘
Nilitamani kweli ashinde, genge la Mbowe CDM ni la kupunguzwa makali.Msigwa ni mkomavu amepitia changamoto nyingi na zote amezivuka
ππππBadilisha kichwa cha habari iwe ni kanda ya Nyasa badala ya ulivyoandika kuwa Jimbo la Nyasa. Au umetoka mtuvila kujimwagilia vitu vya asiliπππ
Kwa mujibu wa Ayo TV Sugu amepata 51% na kumbwaga mchungaji Msigwa aliyepata 49%
Mlale Unono πππ₯πΉ
Naona Mbowe sasa ni turufu tegemewa wa CCM, kwa nini?Mbowe ametumia makada wake wakongwe kujiimarisha madarakani. Sugu na Mbowe wanajuana tangu enzi ya Club Bilicanas
Thanks.Badilisha kichwa cha habari iwe ni kanda ya Nyasa badala ya ulivyoandika kuwa Jimbo la Nyasa. Au umetoka mtuvila kujimwagilia vitu vya asiliπππ