Pre GE2025 Joseph Mbilinyi (Sugu) ashinda uchaguzi Kanda ya Nyasa, amgaragaza Mchungaji Msigwa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Umevaa dera na bukitaa unapiga samasoti
 
Mpunga wa balozi wa USA siyo mchezo. Nasikia mpunga ulitembea balaa yaani hao 120 wajumbe wamelamba dume balaa
Hii sijui ni akili ya wapi....yaani kura 52 kwa 54 bado unaona hamna fairness. Stupid!
 
Hii sijui ni akili ya wapi....yaani kura 52 kwa 54 bado unaona hamna fairness. Stupid!
Yaani hizo mbili mamluki kaka, yaani hao wajumbe wawili wamelamba mpunga mrefu, yaani jamaa wamekula life kupitia kwa sugu aka moto chinj
 
Hongera Timu Mbowe Kwa Ushindi

Timu Lisu yazidi kugaragazwa
 
Chadema kati ya Msigwa na Sugu wameamua kuchagua Sugu.

Kama Taifa tuna safari ndefu sana.
 
Chadema kati ya Msigwa na Sugu wameamua kuchagua Sugu.

Kama Taifa tuna safari ndefu sana.
Watu mnasahau kuwa hawa wenyeviti ndio watakiongoza chama wakati wa chaguzi za mwishoni mwaka huu na ujao. Hawa wanapaswa kuwa na ushawishi mkubwa na uwezo wa kipesa wa kubeba baadhi ya gharama zinazoendana na hizo chaguzi. Sugu anazo hizo sifa.

Msigwa ameongoza kwa term mbili na loyalty yake kwa chama haina shaka. Kitu kingine ni kuwa hasiti kutofautiana na viongozi wa chama chake ( Ngorongoro n.k.) kama ataona wanakosea. Integrity hiyo itasaidia sana kuhakikisha kuwa Sugu na wengine wanabaki kwenye reli.

Ni matokeo mazuri kwa Chadema.

Amandla...
 
Sugu ataapishwa kuwa Mwenyekiti wa Kanda ya Nyasa na kuanzia kazi rasmi, na agenda yake ya Kwanza ni kujenga ofisi za Kanda.
Atakuwa anakosea. Ajenda yake ya kwanza inatakiwa kuhakikisha kuwa chama chake kina wagombea wazuri na wanaokubalika katika chaguzi za mwaka huu na ujao.

Amandla...
 
Sikuwahi kujua kama CHADEMA nacho ni Chama Cha Kiboya hivi, yaan honestly Unawekewa Sugu na Msigwa Unachagua sugu? Naiona ACT iki-shine ukanda huo! Haki hao Wajumbe Ukanda huo ni Vilaza sana.

CHADEMA wajitathmini, kuna namna ya kugawanyika, inamaana kile Sugu alichokuwa akiongea akionyesha maneno ya dharau, kashfa na uadui wa wazi wazi ni maneno ya ndani ya chama. Pia kuhusu kusema chama hakimuaminini maneno ya ndani ya chama japo yalitoka mdomon mwa Sugu.
 
Nikiwaangalia hawa jamaa kwamba wanataka waongoze nchi nasema hawa hawa ambao hata uchaguzi wanatukanana kabla na baada ya uchaguzi yaani wanaojiona ni bora kuliko wenzao kisa wako kundi flani ni wengi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…