Pre GE2025 Joseph Mbilinyi (Sugu) kajidhalilisha sana kuungana na Mbowe ili kumkabili Lissu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Nakushauri sugu na wajumbe wengine jitokezeni kumliwaza mbowe aka tapeli kuwa mpo pamoja naye na system waone kuwa atashinda ila siku ya kupiga kura afanyiwe surprise kwa kupata kura 1 ya kwake.mimi sina wasiwai na wajumbe Lisu atapata zaidi ya kura 1,000.
Pamoja na miujiza yote, kufufua wafu, kuwalisha chakula maelfu, lakini bwana Yesu alisalitiwa kwa vipande vichache vya fedha.

Huijui nguvu ya pesa wewe. 😀 😀
 
Kama CDM wameamua kufanya uchaguzi wa mwenyekiti maana yake ni Demokrasia na Kila mtu ana haki yakuchagua ampendaye.

Swali: kwenye Katina ya CDM kuna mahala panakataza kumuunga mkono Mbowe au Lissu?, kwenye Katiba ya CDM kuna mahala pameandikwa ukishakuwa mwenyekiti huruhusiwi tena kugombea?
Kitu cha msingi katika siasa ni kuepuka kuleta irreparable division ndani ya chama. Historically, vyama vyetu vingi vimedhoofika vibaya baada ya kukumbwa na ugomvi wa madaraka!
 
Hivi kwani tundu lisu kipindi hiki hatumii ofisi za chama, kwasababu yeye ni mgombea?
Meaning wote wasiomuunga mkono mbowe hawaji ofisini au kutumia ofisi?
Sugu ni wakutokuwepo kwenye kikao cha chama haswa mwenyekiti aliyepo madarakani akiitisha kikao.
Are you people serious in here.
Chadema mnatuchanganya sana mjue.
 
Uchaguzi ni kampeni za pande zote, hawa wanasema mchague huyu wale wanasema mchague yule, wengine wanasema wakatae wote mchague wa kwetu, ndio Demokrasia hiyo, CCM hamkuzoea haya mambo, poleni sana
Mngekuwa na demokrasia ndani ya chama makamu wenu asingesema kwamba hela za mama Abdul zimetumika kuvuruga uchaguzi.

Hivi wewe na yeye ni nani anaejua siri za ndani ya chama?
 
Habari zenu wanaJF wenzangu

Inashangaza sana mtu kama Sugu alieanza kuikanyaga ardhi ya Kaburu kabla ya vijana wengi wa Tanzania hawajawa na akili ya kufika huku, ameshindwa kusoma alama za nyakati ambazo bila chenga wala mizengwe zinaonesha fika kwamba awamu hii ni zamu ya Lisu iwe mvua au liwe jua.

Mimi nafikiri hata kama ni chawa wa mwenyekiti lkn kwa jinsi upepo unavyoelekea yeye angejifanya hana upande ili Lisu atapochaguliwa waweze kufanya kazi pamoja.

Sasa kwa namna yoyote ile ikiwa Lisu atachaguliwa kuongoza Chadema, nina imani Sugu atashindwa kufanya nae kazi vizuri mwenyekiti wake mpya, na kwa vile ashaonesha kumpinga wazi wazi mwenyekiti wake mtarajiwa basi ninahisi pengine huko mbele atafanya maamuzi ya kukimbilia CCM ili akachaguliwe kuwa naibu waziri wa michezo na utamaduni, huku Mwana FA ambae anashika nafasi hiyo kwa sasa, huenda atapandishwa cheo na kuwa waziri kamili.

Kuna kila dalili kuwa Mbowe akishindwa atawatelekeza wote waliompambania na kuendelea na biashara zake zinazompatia ugali, hivyo Sugu atakosa mtu wa kumshika mkono chamani na kuamua kutimka bila kufukuzwa.
Ngedere kashiba
 
Lema pekee anajielewa
Lema hajaendekeza udiktetlema hajaendekeza ukabila na ukanda
Lema hajaendekeza uchawa
Lema mchaga pekee alimpa Mbowe tahadhari kuhusu maridhiano
 
M
Habari zenu wanaJF wenzangu

Inashangaza sana mtu kama Sugu alieanza kuikanyaga ardhi ya Kaburu kabla ya vijana wengi wa Tanzania hawajawa na akili ya kufika huku, ameshindwa kusoma alama za nyakati ambazo bila chenga wala mizengwe zinaonesha fika kwamba awamu hii ni zamu ya Lisu iwe mvua au liwe jua.

Mimi nafikiri hata kama ni chawa wa mwenyekiti lkn kwa jinsi upepo unavyoelekea yeye angejifanya hana upande ili Lisu atapochaguliwa waweze kufanya kazi pamoja.

Sasa kwa namna yoyote ile ikiwa Lisu atachaguliwa kuongoza Chadema, nina imani Sugu atashindwa kufanya nae kazi vizuri mwenyekiti wake mpya, na kwa vile ashaonesha kumpinga wazi wazi mwenyekiti wake mtarajiwa basi ninahisi pengine huko mbele atafanya maamuzi ya kukimbilia CCM ili akachaguliwe kuwa naibu waziri wa michezo na utamaduni, huku Mwana FA ambae anashika nafasi hiyo kwa sasa, huenda atapandishwa cheo na kuwa waziri kamili.

Kuna kila dalili kuwa Mbowe akishindwa atawatelekeza wote waliompambania na kuendelea na biashara zake zinazompatia ugali, hivyo Sugu atakosa mtu wa kumshika mkono chamani na kuamua kutimka bila kufukuzwa.
Mbowe ni tishio ni mtu hatari.

Huwezi kumkana hadharani. Baada ya uchaguzi utakiona.

So wajumbe inabidi waplay safely ila wanajua watakachodanya kwenye Sanduku
 
Kama CDM wameamua kufanya uchaguzi wa mwenyekiti maana yake ni Demokrasia na Kila mtu ana haki yakuchagua ampendaye.

Swali: kwenye Katina ya CDM kuna mahala panakataza kumuunga mkono Mbowe au Lissu?, kwenye Katiba ya CDM kuna mahala pameandikwa ukishakuwa mwenyekiti huruhusiwi tena kugombea?
Inawezekana hakuna mahala palipoandikwa kwamba ukishakuwa mwenyekiti huruhusiwi kugombea.

Lakini kuna mazingira fulan ambayo unaona kabisa kwamba ukiendelea kugombea utakigawa chama au kukiuwa kabisa. Hivyo kiakili na kiungwana unaamua kuridhika na miaka zaidi ya 20 uliyotawala ili kumpa nafasi na mungine aje ajaribu kuleta mabadiliko ndani ya chama.

Yule uliemuachia akishindwa basi uchaguzi mungine unagombea ili kukijenga chama upya.
 
Back
Top Bottom