BIG DOGG
JF-Expert Member
- Sep 15, 2024
- 1,869
- 2,707
Yupo sahihi. Watu wana jitoa kupigania mambo nyeti afu mwamba ana watumia kimaslahi. WamestukaKaona ni ujinga kwa mtu mzima kama yeye kuendelea kushikiwa akili na mwanaume mwenzake kwa sababu ya vijisent kidogo vya kula anavyowapatia ili waendelee kumuacha dikteta Mbowe awatawale milele.