Mr Dudumizi
JF-Expert Member
- Sep 9, 2020
- 7,799
- 14,215
- Thread starter
- #101
Wahesabu kura wakizingua tunawapa ulingo wa mtu mbili kati ya Lisu na Mbowe wazichape ili tuone nani ataomba poo 🤣🤣🤣atalinda kura zake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wahesabu kura wakizingua tunawapa ulingo wa mtu mbili kati ya Lisu na Mbowe wazichape ili tuone nani ataomba poo 🤣🤣🤣atalinda kura zake
Lisu hana hela za mchezo. Hela za Lisu zitatumika kujenga chama na sio kuhonga chawa kama afanyavyo Mbowe.unatia huruma yaani umekuwa mnyonge sana kwakaulizilizokosa matumaini mbowe naondoka mmewako sijui itakuwaje lissu humuwezi
Hayo mambo ya uchaguzi wa kidemokrasia ni mageni kwa ccm, wamezoea kutoa fomu moja basi, kinachofanywa na CDM ni somo gumu sana kwaoUchaguzi ni kampeni za pande zote, hawa wanasema mchague huyu wale wanasema mchague yule, wengine wanasema wakatae wote mchague wa kwetu, ndio Demokrasia hiyo, CCM hamkuzoea haya mambo, poleni sana
Sera ya ujamaa na kujitegemea haikuwa inaruhusu raia wa Tz kutoka nje ya Tz bila vibali maalum kutoka juu. Kila mtu alitakiwa abaki nchini ili ajenge nchi. Waliotoka nje walikuwa ni wale waliofanikiwa kuzamia meli za Kigiriki ambao hata hivyo walikuwa ni wachache kwa idadi yao.Ili la kuanza kukanyaga ardhi ya kaburu kabla ya vijana wengi linachekesha na kufikirisha.
Kampeni ni mapambano, ni minyukano, huyu anasema wamehongwa yule anasema hawajahongwa, huyu anasema Maridhiano ni ubwege yule anasema maridhiano yalikuwa na faida.Mbona hoja zinazotolewa na viongoI wa chama kabisa zinakibomoa chama kuliko kukijenga mkuu, shida ni nini
Kitu ambacho wewe hukijui ni kwamba hata sugu naye ana mishemishe ya biashara ni milionea naye yumo!Habari zenu wanaJF wenzangu
Inashangaza sana mtu kama Sugu alieanza kuikanyaga ardhi ya Kaburu kabla ya vijana wengi wa Tanzania hawajawa na akili ya kufika huku, ameshindwa kusoma alama za nyakati ambazo bila chenga wala mizengwe zinaonesha fika kwamba awamu hii ni zamu ya Lisu iwe mvua au liwe jua.
Mimi nafikiri hata kama ni chawa wa mwenyekiti lkn kwa jinsi upepo unavyoelekea yeye angejifanya hana upande ili Lisu atapochaguliwa waweze kufanya kazi pamoja.
Sasa kwa namna yoyote ile ikiwa Lisu atachaguliwa kuongoza Chadema, nina imani Sugu atashindwa kufanya nae kazi vizuri mwenyekiti wake mpya, na kwa vile ashaonesha kumpinga wazi wazi mwenyekiti wake mtarajiwa basi ninahisi pengine huko mbele atafanya maamuzi ya kukimbilia CCM ili akachaguliwe kuwa naibu waziri wa michezo na utamaduni, huku Mwana FA ambae anashika nafasi hiyo kwa sasa, huenda atapandishwa cheo na kuwa waziri kamili.
Kuna kila dalili kuwa Mbowe akishindwa atawatelekeza wote waliompambania na kuendelea na biashara zake zinazompatia ugali, hivyo Sugu atakosa mtu wa kumshika mkono chamani na kuamua kutimka bila kufukuzwa.
Hata Steve Biko aliitwa kichaa.na watakao mchagua mdude ni watakuwa vichaa wenzie
Sawa mkuu, ila kuweni makini tu msikifaidishe chama cha kijani kisa minyukanoKampeni ni mapambano, ni minyukano, huyu anasema wamehongwa yule anasema hawajahongwa, huyu anasema Maridhiano ni ubwege yule anasema maridhiano yalikuwa na faida.
Kwenye Chama kilicho hai hayo hayawezi kukosekana
Jipe moyo!Binadam tumeumbwa tofauti kiufahamu, kiujuzi na kifikra.
Anaweza kuwa anajua hili, na mimi namshinda kujua lile.
So mwisho wa siku mjuzi wa kila kitu ni Mungu. Sio jongwe, wewe au mimi.
AmenSawa mkuu, ila kuweni makini tu msikifaidishe chama cha kijani kisa minyukano
Sugu ni CHAWA promaxHabari zenu wanaJF wenzangu
Inashangaza sana mtu kama Sugu alieanza kuikanyaga ardhi ya Kaburu kabla ya vijana wengi wa Tanzania hawajawa na akili ya kufika huku, ameshindwa kusoma alama za nyakati ambazo bila chenga wala mizengwe zinaonesha fika kwamba awamu hii ni zamu ya Lisu iwe mvua au liwe jua.
Mimi nafikiri hata kama ni chawa wa mwenyekiti lkn kwa jinsi upepo unavyoelekea yeye angejifanya hana upande ili Lisu atapochaguliwa waweze kufanya kazi pamoja.
Sasa kwa namna yoyote ile ikiwa Lisu atachaguliwa kuongoza Chadema, nina imani Sugu atashindwa kufanya nae kazi vizuri mwenyekiti wake mpya, na kwa vile ashaonesha kumpinga wazi wazi mwenyekiti wake mtarajiwa basi ninahisi pengine huko mbele atafanya maamuzi ya kukimbilia CCM ili akachaguliwe kuwa naibu waziri wa michezo na utamaduni, huku Mwana FA ambae anashika nafasi hiyo kwa sasa, huenda atapandishwa cheo na kuwa waziri kamili.
Kuna kila dalili kuwa Mbowe akishindwa atawatelekeza wote waliompambania na kuendelea na biashara zake zinazompatia ugali, hivyo Sugu atakosa mtu wa kumshika mkono chamani na kuamua kutimka bila kufukuzwa.
Kun watanzania wengi walienda south na kuhusu vibalu hata Sasa watanzania wanaingiza kijanjajanja.Sera ya ujamaa na kujitegemea haikuwa inaruhusu raia wa Tz kutoka nje ya Tz bila vibali maalum kutoka juu. Kila mtu alitakiwa abaki nchini ili ajenge nchi. Waliotoka nje walikuwa ni wale waliofanikiwa kuzamia meli za Kigiriki ambao hata hivyo walikuwa ni wachache kwa idadi yao.
Mwinyi alipoingia madarakani akauwa sera za kijamaa ambazo zilikuwa zinawafunga watanzania sehem moja kama mabata. Na pia kutengua sera iliyokuwa inazuia watanzania kwenda nje. Baada ya hapo ndo watu wakaanza kupewa ruhusa ya kutoka wakiwemo kina Sugu na wengine.
Habari zenu wanaJF wenzangu
Inashangaza sana mtu kama Sugu alieanza kuikanyaga ardhi ya Kaburu kabla ya vijana wengi wa Tanzania hawajawa na akili ya kufika huku, ameshindwa kusoma alama za nyakati ambazo bila chenga wala mizengwe zinaonesha fika kwamba awamu hii ni zamu ya Lisu iwe mvua au liwe jua.
Mimi nafikiri hata kama ni chawa wa mwenyekiti lkn kwa jinsi upepo unavyoelekea yeye angejifanya hana upande ili Lisu atapochaguliwa waweze kufanya kazi pamoja.
Sasa kwa namna yoyote ile ikiwa Lisu atachaguliwa kuongoza Chadema, nina imani Sugu atashindwa kufanya nae kazi vizuri mwenyekiti wake mpya, na kwa vile ashaonesha kumpinga wazi wazi mwenyekiti wake mtarajiwa basi ninahisi pengine huko mbele atafanya maamuzi ya kukimbilia CCM ili akachaguliwe kuwa naibu waziri wa michezo na utamaduni, huku Mwana FA ambae anashika nafasi hiyo kwa sasa, huenda atapandishwa cheo na kuwa waziri kamili.
Kuna kila dalili kuwa Mbowe akishindwa atawatelekeza wote waliompambania na kuendelea na biashara zake zinazompatia ugali, hivyo Sugu atakosa mtu wa kumshika mkono chamani na kuamua kutimka bila kufukuzwa.
🤣🤣🤣Angekula fedha alaf angejifanya amepata dharura ya ghafla ambayo imemfanya asifike mkutanoni 🤣🤣🤣
Lakini kwenye siasa alikuwa anapata hela za bure ambazo hazitolei jasho kama ilivyo kwa wabunge wote wa JMT.Kitu ambacho wewe hukijui ni kwamba hata sugu naye ana mishemishe ya biashara ni milionea naye yumo!
Kati ya Msigwa (team Lisu), na Sugu (team Mbowe) ni kina nani waliokuwa corrupt kupitia hela za mama Abdul?Pamoja na Msigwa kuwa corrupt, kwenye uchaguzi wa kanda ya Kusini ilikuwa sio rahisi Sugu kumshinda Msigwa, anajua siri ya mchezo.
Hao watanzania wengi walienda mwaka gani?Kun watanzania wengi walienda south.