Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kulingana na recent reports Sugu team ilikuwa corrupt na hela za ABD, hata hivyo sijajua kwanini Msigwa aliamua kwenda CCM, Je, kwasababu ya frustrations za uchaguzi au alikuwa mole kitambo.Kati ya Msigwa (team Lisu), na Sugu (team Mbowe) ni kina nani waliokuwa corrupt kupitia hela za mama Abdul?
Nafikiri Msigwa alienda CCM ili kupunguza hasira alizokuwa nazo, lkn pia kupata jukwaa huru zaidi la kumshambulia Mbowe bila kizuizi.Kulingana na recent reports Sugu team ilikuwa corrupt na hela za ABD, hata hivyo sijajua kwanini Msigwa aliamua kwenda CCM, Je, kwasababu ya frustrations za uchaguzi au alikuwa mole kitambo.
Kwa kuongezea, Boniyai, na Maranja Masese ambao walikuwa wapiga kampeni za Sugu ni wafaidika wa kubwa wa hizo fedha.
Unamjua au umeahamsikia Abdu msomali, huyo nakutajia kwa sababu anajulikana. Zamani watanzania waliokuwa wanafanya biashara ya madawa walikuwa hawauzi Tanzania, soko lao. Lilikuwa south Afrika.Hao watanzania wengi walienda mwaka gani?
Kuhusu vibali kuna tofauti kubwa sana kati ya sasa na kipindi kile. Sasa hivi mpaka kibaka wa mbagala unakutana nae ana miliki ganda la kusafiria na wakati kipindi kile ganda walikuwa wanapewa watu maalum na kwa kazi maalum.
Mkuu mbona sasa umerudia kuandika kile kile nilichokiandika. Kama ni hivyo hapakuwa na sababu ya kupinga nilichoandika.Unamjua au umeahamsikia Abdu msomali, huyo nakutajia kwa sababu anajulikana. Zamani watanzania waliokuwa wanafanya biashara ya madawa walikuwa hawauzi Tanzania, soko lao. Lilikuwa south Afrika.
Watanzania wengi walikuwa wakitaka kuzamia ulaya walikuwa wanapitia south Afrika pia Kuna vijana wengi nawafahamu ambao baada ya ubaguzi kufutwa walikuwa wameshakaa huko muda mrefu na wakatumia fursa hiyo kupata uraia.
Ugumu wa passport haeakuwazuia watanzania kuzamia nchi za jirani mbali na south wengine walijaa Namibia na Botswana .
Kuhusu sugu labda mmekuja naye ndio maana unafikiri ni kijana wa mwanzo kwenda huko.
Wapi inaonesha mbowe atashindwa au Ni maoni yako tu?Ya ana haki ya kuchagua lkn sio kujionesha live kuwa yeye ni chawa wa Mbowe na wakati dalili zote zinaonesha kuwa Mbowe atashindwa.
Umeonyesha ukomavu sana safari hii kwa ku hold your ground na kuamua kubaki upande wa Chama badala ya upande wa wagombeaSwala la kutoboa au kutotoboa halina maana sana, tunataka demokrasia na uchaguzi wa haki .
Mbowe kushindwa Uenyekiti ni ndoto za AlinachaHabari zenu wanaJF wenzangu
Inashangaza sana mtu kama Sugu alieanza kuikanyaga ardhi ya Kaburu kabla ya vijana wengi wa Tanzania hawajawa na akili ya kufika huku, ameshindwa kusoma alama za nyakati ambazo bila chenga wala mizengwe zinaonesha fika kwamba awamu hii ni zamu ya Lisu iwe mvua au liwe jua.
Mimi nafikiri hata kama ni chawa wa mwenyekiti lkn kwa jinsi upepo unavyoelekea yeye angejifanya hana upande ili Lisu atapochaguliwa waweze kufanya kazi pamoja.
Sasa kwa namna yoyote ile ikiwa Lisu atachaguliwa kuongoza Chadema, nina imani Sugu atashindwa kufanya nae kazi vizuri mwenyekiti wake mpya, na kwa vile ashaonesha kumpinga wazi wazi mwenyekiti wake mtarajiwa basi ninahisi pengine huko mbele atafanya maamuzi ya kukimbilia CCM ili akachaguliwe kuwa naibu waziri wa michezo na utamaduni, huku Mwana FA ambae anashika nafasi hiyo kwa sasa, huenda atapandishwa cheo na kuwa waziri kamili.
Kuna kila dalili kuwa Mbowe akishindwa atawatelekeza wote waliompambania na kuendelea na biashara zake zinazompatia ugali, hivyo Sugu atakosa mtu wa kumshika mkono chamani na kuamua kutimka bila kufukuzwa.
Ukiangalia kwa makini mitandaoni na uraiani utagundua kwamba watu wanaotaka Mbowe aachie uenyekiti ni wengi kuliko wale wanaotaka aendelee kuwa mwenyekiti.Wapi inaonesha mbowe atashindwa au Ni maoni yako tu?
Unamaanisha shamba la bwana shambaa aachiwe mwenye shamba mkuu 🤣🤣🤣
Kama kutakuwa na namna ya goli la mkono hapo kweli ni alinacha Mbowe kushindwa, lkn kama ni fair play bila wizi wa kura basi Mbowe ataangukia pua mapema sana siku hiyo.Mbowe kushindwa Uenyekiti ni ndoto za Alinacha
Usitishike na andiko langu ukaanza kunihukumu mimi sina chama mkuu.Hii sasa ndo Democrasia ya CHADEMA.
Sishangai sana, Mlovokua mnamchukia Diamond kisa tu ameside na CCM.
Ni kama mazombie flan hivi hamjielewi.
Nimewazs hili pia.Pengine Lisu akishinda uenyekiti Msigwa anaweza kuikimbia tena CCM na kurudi Chadema kushirikiana na Lisu kukijenga chama.
Ndivyo itakavyokuwa mkuu.Nimewazs hili pia.
Mbowe myika walimsumbua sungu ajiunge chademaSugu kaingizwa CHADEMA na Mbowe personally. Wakati anaitwa na Mbowe kujiunga na CHADEMA tulikuwa naye New York City alikuwa anashughulikia deal zake za projects za Malaria. Akatuambia Mbowe kamuita Bongo anamtaka aingie CHADEMA, Sugu alikuwa hajaamua bado aingie CHADEMA au ampotezee Mbowe, akatuuliza aingie au asiingie CHADEMA?
Tukamwambia ingia ukachukue jimbo uendeleze harakati bungeni.
Kwa hiyo Mbowe amekuwa kama Godfather wa Sugu ndani ya CHADEMA kutoka anajiunga, Mbowe ndiye aliye m recruit Sugu CHADEMA, mara nyingine hizo ties ni vigumu kuzivunja.
Lengo lao lilikuwa kumtumia Sugu kama daraja kwa faida zao wenyewe.Mbowe myika walimsumbua sungu ajiunge chadema
Na kasema kama hakuna mabadiliko hakuna uchaguzi basi. Mwamba kamkataaa mbowe kiana na kasepa zakeLema pekee anajielewa
Lema hajaendekeza udiktetlema hajaendekeza ukabila na ukanda
Lema hajaendekeza uchawa
Lema mchaga pekee alimpa Mbowe tahadhari kuhusu maridhiano
Kaona ni ujinga kwa mtu mzima kama yeye kuendelea kushikiwa akili na mwanaume mwenzake kwa sababu ya vijisent kidogo vya kula anavyowapatia ili waendelee kumuacha dikteta Mbowe awatawale milele.Na kasema kama hakuna mabadiliko hakuna uchaguzi basi. Mwamba kamkataaa mbowe kiana na kasepa zake