Pre GE2025 Joseph Mbilinyi (Sugu) kajidhalilisha sana kuungana na Mbowe ili kumkabili Lissu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Pamoja na miujiza yote, kufufua wafu, kuwalisha chakula maelfu, lakini bwana Yesu alisalitiwa kwa vipande vichache vya fedha.

Huijui nguvu ya pesa wewe. 😀 😀
 
Kitu cha msingi katika siasa ni kuepuka kuleta irreparable division ndani ya chama. Historically, vyama vyetu vingi vimedhoofika vibaya baada ya kukumbwa na ugomvi wa madaraka!
 
Hivi kwani tundu lisu kipindi hiki hatumii ofisi za chama, kwasababu yeye ni mgombea?
Meaning wote wasiomuunga mkono mbowe hawaji ofisini au kutumia ofisi?
Sugu ni wakutokuwepo kwenye kikao cha chama haswa mwenyekiti aliyepo madarakani akiitisha kikao.
Are you people serious in here.
Chadema mnatuchanganya sana mjue.
 
Uchaguzi ni kampeni za pande zote, hawa wanasema mchague huyu wale wanasema mchague yule, wengine wanasema wakatae wote mchague wa kwetu, ndio Demokrasia hiyo, CCM hamkuzoea haya mambo, poleni sana
Mngekuwa na demokrasia ndani ya chama makamu wenu asingesema kwamba hela za mama Abdul zimetumika kuvuruga uchaguzi.

Hivi wewe na yeye ni nani anaejua siri za ndani ya chama?
 
Ngedere kashiba
 
Lema pekee anajielewa
Lema hajaendekeza udiktetlema hajaendekeza ukabila na ukanda
Lema hajaendekeza uchawa
Lema mchaga pekee alimpa Mbowe tahadhari kuhusu maridhiano
 
M
Mbowe ni tishio ni mtu hatari.

Huwezi kumkana hadharani. Baada ya uchaguzi utakiona.

So wajumbe inabidi waplay safely ila wanajua watakachodanya kwenye Sanduku
 
Inawezekana hakuna mahala palipoandikwa kwamba ukishakuwa mwenyekiti huruhusiwi kugombea.

Lakini kuna mazingira fulan ambayo unaona kabisa kwamba ukiendelea kugombea utakigawa chama au kukiuwa kabisa. Hivyo kiakili na kiungwana unaamua kuridhika na miaka zaidi ya 20 uliyotawala ili kumpa nafasi na mungine aje ajaribu kuleta mabadiliko ndani ya chama.

Yule uliemuachia akishindwa basi uchaguzi mungine unagombea ili kukijenga chama upya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…