BIG DOGG JF-Expert Member Joined Sep 15, 2024 Posts 1,869 Reaction score 2,707 Dec 25, 2024 #141 Mr Dudumizi said: Kaona ni ujinga kwa mtu mzima kama yeye kuendelea kushikiwa akili na mwanaume mwenzake kwa sababu ya vijisent kidogo vya kula anavyowapatia ili waendelee kumuacha dikteta Mbowe awatawale milele. Click to expand... Yupo sahihi. Watu wana jitoa kupigania mambo nyeti afu mwamba ana watumia kimaslahi. Wamestuka
Mr Dudumizi said: Kaona ni ujinga kwa mtu mzima kama yeye kuendelea kushikiwa akili na mwanaume mwenzake kwa sababu ya vijisent kidogo vya kula anavyowapatia ili waendelee kumuacha dikteta Mbowe awatawale milele. Click to expand... Yupo sahihi. Watu wana jitoa kupigania mambo nyeti afu mwamba ana watumia kimaslahi. Wamestuka
Glenn JF-Expert Member Joined May 23, 2015 Posts 69,329 Reaction score 164,730 Dec 25, 2024 #142 BIG DOGG said: Na kasema kama hakuna mabadiliko hakuna uchaguzi basi. Mwamba kamkataaa mbowe kiana na kasepa zake Click to expand... Ametuma picha akibebishana na mkewe huko Canada😄
BIG DOGG said: Na kasema kama hakuna mabadiliko hakuna uchaguzi basi. Mwamba kamkataaa mbowe kiana na kasepa zake Click to expand... Ametuma picha akibebishana na mkewe huko Canada😄