28 Juni 2020
Mbeya, Tanzania
"MIMI NA MBOWE NDO TULIWEKEWA DAU LA JUU, NAGOMBEA MBEYA NIKO TAYARI" SUGU
Mh. Joseph Mbilinyi ameyasema hayo katika mkutano wa ndani kuwashukuru wana wa Mbeya. Kwa kuwatunza na kuwaelekeza viongozi wa CHADEMA wa mjini Mbeya nini wanataka wafanye kufuatana na matakwa ya wananchi waliowachagua.
Uchaguzi Mkuu wa Tanzania unatarajiwa kufanyika mwezi Oktoba 2020. Nitalinda heshima niliyopewa na wanaMbeya maana hakuna thamani inayolingana na heshima hiyo kubwa waliyompatia kwa kuwa na imani naye.
Miaka 5 haikuwa lelemama na heshima kubwa iwaendee madiwani kwa kufanya kazi bila woga. CCM Mpya wasahau kupewa uongozi ktk jimbo la Mbeya maana wananchi bado wana imani na uongozi wa CHADEMA 2020 -2025.
Pamoja na mikutano kuzuiwa kwa miaka 5 lakini CHADEMA bado ni imara na tishio kwa CCM Mpya kiasi kuwa mpaka sasa hakuna mwanachama wa CCM Mpya aliyediriki kusema au kutangaza atagombea jijini Mbeya bali wanaonekana wakipitapita lakini wakiulizwa na wanaCCM kama watatia nia wanabakia kusema muda bado CCM Mpya kusema waziwazi.
Woga huo wa CCM Mpya kushindwa mpaka sasa kujitangaza kugombea waziwazi Mbeya ni dalili kuwa hawana chao 2020 jijini Mbeya.
Shukrani kwa imani ya wananchi wa Mbeya juu ya viongozi wao wa CHADEMA waliowachagua na kuwa nao bega kwa bega na CHADEMA katika kila hali.
Source : Millard Ayo