Uchaguzi 2020 Joseph Mbilinyi(Sugu): Nagombea Mbeya, niko tayari

Uchaguzi 2020 Joseph Mbilinyi(Sugu): Nagombea Mbeya, niko tayari

bagamoyo

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2010
Posts
24,941
Reaction score
28,869
28 Juni 2020
Mbeya, Tanzania

"MIMI NA MBOWE NDO TULIWEKEWA DAU LA JUU, NAGOMBEA MBEYA NIKO TAYARI" SUGU

Mh. Joseph Mbilinyi ameyasema hayo katika mkutano wa ndani kuwashukuru wana wa Mbeya. Kwa kuwatunza na kuwaelekeza viongozi wa CHADEMA wa mjini Mbeya nini wanataka wafanye kufuatana na matakwa ya wananchi waliowachagua.

Uchaguzi Mkuu wa Tanzania unatarajiwa kufanyika mwezi Oktoba 2020. Nitalinda heshima niliyopewa na wanaMbeya maana hakuna thamani inayolingana na heshima hiyo kubwa waliyompatia kwa kuwa na imani naye.

Miaka 5 haikuwa lelemama na heshima kubwa iwaendee madiwani kwa kufanya kazi bila woga. CCM Mpya wasahau kupewa uongozi ktk jimbo la Mbeya maana wananchi bado wana imani na uongozi wa CHADEMA 2020 -2025.

Pamoja na mikutano kuzuiwa kwa miaka 5 lakini CHADEMA bado ni imara na tishio kwa CCM Mpya kiasi kuwa mpaka sasa hakuna mwanachama wa CCM Mpya aliyediriki kusema au kutangaza atagombea jijini Mbeya bali wanaonekana wakipitapita lakini wakiulizwa na wanaCCM kama watatia nia wanabakia kusema muda bado CCM Mpya kusema waziwazi.

Woga huo wa CCM Mpya kushindwa mpaka sasa kujitangaza kugombea waziwazi Mbeya ni dalili kuwa hawana chao 2020 jijini Mbeya.

Shukrani kwa imani ya wananchi wa Mbeya juu ya viongozi wao wa CHADEMA waliowachagua na kuwa nao bega kwa bega na CHADEMA katika kila hali.

Source : Millard Ayo
 
Hongera Sugu ulianza Safari na sisi na umemaliza Safari salama.

Mheshimiwa Sugu wewe ni shujaa umeweza kuruka viunzi vingi ikiwemo kukataa kuunga mkono juhudi.

Tutakuchagua tena kwa kura nyingi kuliko za Rais wa Zanzibar,mwambie yule mwanamama number 2 mjengoni atafute jimbo lingine Mbeya hana nafasi labda agombee udiwani.
 
Jamani aliyepata komonio ya kwanza au kucheza na tulia akson Mbeya aje hapa atwambie maana tumemsikia sugu

Kasoma sisimba, Mbeya day kauza mitumba docks, kitaa ana masela kibao kwaiyo yeye Mbeya si wakuja anavyodai

Haya sasa kwako mama tukinao a.k.a betina tuambie wewe Mbeya mjini umesoma wapi, umecheza wapi masela wako tukipita mitaa ya Mbeya wapo uliocheza nao
 
Juzi alikua anacheza nao hukuona??
 
Tulia amesoma Tukuyu, ni Mnyakyusa halisi, Sugu ni Mkinga kwao Makete Njombe
 
Tulia amesoma tukuyu, ni mnyakyusa halisi, sugu ni mkinga kwao makete njombe
Sugu Mkoloni huyo kutoka nje ya mbeya kaja kutawalawa wana mbeya safari hii Sugu lazima afungishwe virago mbeya sio koloni la wakinga
 
Sugu for Mbeya hata kama ikibidi kuutafuta ushindi kwa miaka 4 mahakamani.....maana najua kifuatacho kwa siasa za kubebwa na dola na wasimamizi uchaguzi .....!!!
 
Mnaingia kwenye uchaguzi kwa tume ile ile na sheria zile zile
Mkifuliwa msije kutupigia kelele
 
Back
Top Bottom