Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Matagio yametagishwa
Mkuu Hata wewe unaingizwa Chaka na MATAGIO?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu Hata wewe unaingizwa Chaka na MATAGIO?
Leo, ilikuwa ni siku ya kuuaga Kitaifa mwili wa Rais wa Awamu ya 3, Benjamin Mkapa katika Uwanja wa Taifa Jijini Dar na viongozi mbalimbali walikuwa wakienda kutoa salamu zao za mwisho
Viongozi wa CHADEMA wakiongozwa na Mwenyekiti wao Freeman Mbowe walienda uwanjani hapo na baadaye kudai kuwa walizuiwa kuingia Uwanjani kwa ajili ya kuuaga mwili wa Mkapa
Katika Ufafanuzi wao CHADEMA huku wakiitaka Serikali itoe ufafanuzi kwa kuzuiwa kwao wamedai wao wamefuata ratiba waliyopelekewa ikionesha tarehe, muda, siku tukio na muhusika
Hata hivyo, Jana Msemaji wa Serikali aliweka bayana ratiba ya kufika uwanjani hapo ambapo Serikali iliwataka Viongozi wote wa Kitaifa na Viongozi wa Kisiasa kufika katika Uwanja wa Karimjee na kuacha magari yao hapo kukiwa na gari maalum la kuwapeleka uwanjani ambapo la mwisho liliondoka saa 1:30 asubuhi
Leo priority ilikiwa viongozi wa madaraka kufika kwanza! Leo tumeondoka makwetu saa 12 na nusu asubuhi nyumbani ila tumefika maofisini saa 3 asubuhi.
Unless CDM na msafara wao wangeondoka makwao saa 11 alfajiri ndiyo wangewahi shughuli hii.
Siwalaumu, lakini wangepewa usindikizaji wa vyombo vya usalama basi wangewahi kufika tu pale uwanjani kuaga mwili.
Safi mh sugu inawezekana wewe ulicherewa kupata akili zikabaki wale wengine waliwahi mapema hadi walitamani wapigwe na polisi ili wapate kiki kimataifa lakini haikuwa wamebaki kushangaa tu
Hapo wapi nimeonesha nimepanic?Mbona umepanic namna hii comrade?
Viol Na wewe huna tofauti na wao we umejuaje kuwa sugu amedukuliwa? ikiwa aliyetoa taarifa sio yeyemwenyeweHiyo mi sikatai but nachopinga ni watu kuforce kwamba sugu hajadukuliwa ila chadema kuchelewa wamekosea
Wao wanadhani ndio wanafanikiwa na propaganda zao kumbe ndio wanazidi kukaa uchi huku wameinama!Huyo mleta uzi nadhani ndiyo mhusika wa huo uhalifu wa kudukua hiyo account, lumumba safari hii wameshikwa wakashikika
Basi kama linajulikana lazima tuwe wepesi kukiri makosa kuliko kutoa lawama zisozo na msingi..Hakuna binadamu aliye sahihi, hajazaliwa bado
Sio sisi sema mimi sio kilaza maana hujui kitu zaidi ya kushinda JF.Uongo.Ni Sugu kabisa,sema wakubwa hawajakubaliana nae alivyoandika. Sisi sio vilaza kama kina Zitto mliowanyanganya laptop kulimokuwa na waraka.
Lakini hamshindi aliyekuzaa!Sugu ajitambui
Mwandishi wa kujitegemea wa JF ahahahaha pole sana wenzio YouTube huko wanalipwa!Alikuwa na Sugu leo ila baada ya ujumbe kufika ndio amedukuliwa, alikuwa wapi muda wote. Kukosea sio shida wakubali na kujirekebisha tu.
hapana sijarely kwenye post ya mtu,Mkuu Hata wewe unaingizwa Chaka na MATAGIO?
Kabisa kabisa kabisa bora kwenda airport tuKwanza tuwashukuru sana kwa hata huo MOYO wa kujaribu kwenda huko, maana siyo lazima
Hukumuona mama Samia pale hospitali Nairobiau hufuatilii chochoteHapo hakuna cha kitanzi wala nini, nyinyi mbona alipo pigwa risasi mh Lissu hamkwenda kumjulia hali pale Nairobi?
Kumbe mkuki ni kwa nguruwe siyo? Mkianza wenzenu wanamaliza! Wacheni kulia lia
Huyo mama ni mnyarwanda kila siku akitoka lumumba break yake ya kwanza ni pale rombo view kudoea biaSio sisi sema mimi sio kilaza maana hujui kitu zaidi ya kushinda JF.
Acha kujifanya mjuaji kiasi hicho unaaibika mno humu siku hizi