Joseph Mbiliyi (Sugu) awaumbua CHADEMA, akiri walichelewa Uwanjani kumuaga Mzee Mkapa

Lisu anakujaje kwa huu uzi?
Hivi mtaacha lini kumsema vibaya mgombea wetu?

Ni vyema kama mtazivua akili za ki Musiba Musiba enyi watu wa mtaa wa Lumumba.
Katibu wenu alisema atakuwepo msibani halafu machadema msivyotumia akili mkataka kutafuta kiki msibani lakini Mungu mkubwa kwa sababu tushawajua tukawazuia😕
 
Nikiaibika tu nikiwasema upinzani 😂.Nikiwasema CCM hapo ninakuwa siaibiki. 😂
Hakuna anayejali, una uhuru wa kunyumbulika utakavyo! Uzuri maoni yako hayabadilishi chochote, hayamlishi mtu yeyote wala kumpa stress yeyote.

Kwa ufupi legends tunasema unajifurahisha na kujifunza ili mradi siku ziende!
Enjoy
 
Leo, ilikuwa ni siku ya kuuaga Kitaifa mwili wa Rais wa Awamu ya 3, Benjamin Mkapa katika Uwanja wa Taifa Jijini Dar na viongozi mbalimbali walikuwa wakienda kutoa salamu zao za mwisho

Viongozi wa CHADEMA wakiongozwa na Mwenyekiti wao Freeman Mbowe walienda uwanjani hapo na baadaye kudai kuwa walizuiwa kuingia Uwanjani kwa ajili ya kuuaga mwili wa Mkapa

Katika Ufafanuzi wao CHADEMA huku wakiitaka Serikali itoe ufafanuzi kwa kuzuiwa kwao wamedai wao wamefuata ratiba waliyopelekewa ikionesha tarehe, muda, siku tukio na muhusika

Hata hivyo, Jana Msemaji wa Serikali aliweka bayana ratiba ya kufika uwanjani hapo ambapo Serikali iliwataka Viongozi wote wa Kitaifa na Viongozi wa Kisiasa kufika katika Uwanja wa Karimjee na kuacha magari yao hapo kukiwa na gari maalum la kuwapeleka uwanjani ambapo la mwisho liliondoka saa 1:30 asubuhi
Akaunti ilidukuliwa na wewe unaleta tu umbeya
 
Siku zote hapa nasema Mbowe ni Mtu hatari sana kwa Ukuaji wa Demokrasia nchini bado hamnielewi.

Mbowe amefeli sana sana kuongoza hiki Chama.
Chadema wanapenda mambo ya hovyo sana anayoasisi Mwenyekiti Mlevi Mbowe.
Ni bahati tu Chadema na CCM imekua kama Simba na Yanga. Watu wanakipenda Chama pamoja na Mambo ya hovyo anayofanya Kocha yaani Mbowe. Palikua hakuna haja ya kukimbia kimbia na mabendera Uwanjani huku wakiwa wamechelewa.
Jambo la hovyo ni kupinga kila kitu. Walichelewa makusudi ili wasipande magari pamoja na watu wa vyama vingine. Huku ni kukosa Utu na Mshikamano .
Mwanzo tuliamini kuwa Chadema kitakua ni Chama kitakachotuletea umoja na mshikamano na kujenga misingi ya Utaifa badala ya mabendera na manembo ya uchafu wa vyama.
Msiba ulikua ni wa kupeperusha Bendera ya Taifa na sio Uchafu wa mabendera waliyotaka kukimbia kimbia nayo akina Mbowe uwanjani na magwanda yao.

Mbowe alishindwa nini kuratibu hili zoezi na kuhakikisha kuwa Lisu anatimiza azma yake ya kuuaga mwili wa B.Mkapa?
Tukubali tukatae Mbowe anawivu sana anapoona ndani ya hicho Chama chake kuna MTU anapewa heshima na umaarufu kuliko yeye.
Wewe Mbowe kaa nyumbani tu kwa sasa uache Chama kiongozwe na wasomi na wazalendo sio wewe mfanyabiashara wa kisiasa.

Watanzania wanapenda mabadiliko lakini sio hayo ya Mbowe ya kupinga kila kitu kinachofanywa na serikali hata kama ni kizuri. Huu sio uzalendo.
Tulitegemea Chadema iwe na mawazo mazuri ya kujenga taifa la kizalendo na kuachana na kupinga kila kitu kinachofanywa na washindani wake.
 
Hayo mapovu yako nenda kauze mchikichini yana soko
 
Hapo hakuna cha kitanzi wala nini, nyinyi mbona alipo pigwa risasi mh Lissu hamkwenda kumjulia hali pale Nairobi?

Kumbe mkuki ni kwa nguruwe siyo? Mkianza wenzenu wanamaliza! Wacheni kulia lia
Mbona Mama Samia alikwenda na baadhi ya wabunge,jifunze kufuatilia mambo kabla ya kukosoa bila ushahidi.
 
Eti baadhi ya wabunge! [emoji23][emoji23] ukiondoa mh Nyalandu, ambaye mlimuundia zengwe la kumfukuza kwenye chama kisa kaenda kumuona mh Lissu ambaye ni mtu wa kwao na mbunge mwenzake.
Mbona Mama Samia alikwenda na baadhi ya wabunge,jifunze kufuatilia mambo kabla ya kukosoa bila ushahidi.
 
Siku zote hapa nasema Mbowe ni Mtu hatari sana kwa Ukuaji wa Demokrasia nchini bado hamnielewi.

Mbowe amefeli sana sana kuongoza hiki Chama.
Chadema wanapenda mambo ya hovyo sana anayoasisi Mwenyekiti Mlevi Mbowe.
Ni bahati tu Chadema na CCM imekua kama Simba na Yanga. Watu wanakipenda Chama pamoja na Mambo ya hovyo anayofanya Kocha yaani Mbowe. Palikua hakuna haja ya kukimbia kimbia na mabendera Uwanjani huku wakiwa wamechelewa.
Jambo la hovyo ni kupinga kila kitu. Walichelewa makusudi ili wasipande magari pamoja na watu wa vyama vingine. Huku ni kukosa Utu na Mshikamano .
Mwanzo tuliamini kuwa Chadema kitakua ni Chama kitakachotuletea umoja na mshikamano na kujenga misingi ya Utaifa badala ya mabendera na manembo ya uchafu wa vyama.
Msiba ulikua ni wa kupeperusha Bendera ya Taifa na sio Uchafu wa mabendera waliyotaka kukimbia kimbia nayo akina Mbowe uwanjani na magwanda yao.

Mbowe alishindwa nini kuratibu hili zoezi na kuhakikisha kuwa Lisu anatimiza azma yake ya kuuaga mwili wa B.Mkapa?
Tukubali tukatae Mbowe anawivu sana anapoona ndani ya hicho Chama chake kuna MTU anapewa heshima na umaarufu kuliko yeye.
Wewe Mbowe kaa nyumbani tu kwa sasa uache Chama kiongozwe na wasomi na wazalendo sio wewe mfanyabiashara wa kisiasa.

Watanzania wanapenda mabadiliko lakini sio hayo ya Mbowe ya kupinga kila kitu kinachofanywa na serikali hata kama ni kizuri. Huu sio uzalendo.
Tulitegemea Chadema iwe na mawazo mazuri ya kujenga taifa la kizalendo na kuachana na kupinga kila kitu kinachofanywa na washindani wake.
Hii Essay nani ataisoma?
 
Unajua fika kuwa Nairobi asingefika kama Serikali ndiyo ulipanga kumuua. Baada yatukio, huduma ya kwanza, iliyokoa maisha yake, ilisimamiwa na viongozi wa juu wa Serikali.
Kwani serikali ikipanga kukujua huwezi survive. Anyway, kwa Lissu aliyepanga hakuwa na plan B kwa kuwa walikuwa na uhakika wangemaliza kila kitu pale. Isingewezekana kuendelea na Mpango kwa kuwa ungeweza kuwahusisha watu wengine na Kupoteza usiri wake.
 
Ndoto za msibani bhana,
Wewe kada upo na huzuni kweli ya kifo cha kada nguli wa Lupaso?

Najua umefurahi kwa msiba huo maana unaamini jiwe atapunguza speed kwa watia nia wehu.

Kuhusu TAL wala sio siri ujio wake umewafanya mpoteane kabisa 🤣🤣🤣na bado mtaendelea kupoteana hadi Oct 28.
Katibu wenu alisema atakuwepo msibani halafu machadema msivyotumia akili mkataka kutafuta kiki msibani lakini Mungu mkubwa kwa sababu tushawajua tukawazuia😕
 
Leo, ilikuwa ni siku ya kuuaga Kitaifa mwili wa Rais wa Awamu ya 3, Benjamin Mkapa katika Uwanja wa Taifa Jijini Dar na viongozi mbalimbali walikuwa wakienda kutoa salamu zao za mwisho

Viongozi wa CHADEMA wakiongozwa na Mwenyekiti wao Freeman Mbowe walienda uwanjani hapo na baadaye kudai kuwa walizuiwa kuingia Uwanjani kwa ajili ya kuuaga mwili wa Mkapa

Katika Ufafanuzi wao CHADEMA huku wakiitaka Serikali itoe ufafanuzi kwa kuzuiwa kwao wamedai wao wamefuata ratiba waliyopelekewa ikionesha tarehe, muda, siku tukio na muhusika

Hata hivyo, Jana Msemaji wa Serikali aliweka bayana ratiba ya kufika uwanjani hapo ambapo Serikali iliwataka Viongozi wote wa Kitaifa na Viongozi wa Kisiasa kufika katika Uwanja wa Karimjee na kuacha magari yao hapo kukiwa na gari maalum la kuwapeleka uwanjani ambapo la mwisho liliondoka saa 1:30 asubuhi

FAKE NEWS 😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom