Joseph Mbiliyi (Sugu) awaumbua CHADEMA, akiri walichelewa Uwanjani kumuaga Mzee Mkapa

Ni habar feki hyo
 
Mkuu nani awape cdm hiyo huduma ya kuwaongoza barabarani? Angekuwa Lyatonga na Lipumba na mwenzao Mbatia wangepewa
 
Mataga safari hii naona mmeanza kutagishwa na jogoo la mbegu
Safi mh sugu inawezekana wewe ulicherewa kupata akili zikabaki wale wengine waliwahi mapema hadi walitamani wapigwe na polisi ili wapate kiki kimataifa lakini haikuwa wamebaki kushangaa tu
 
Hiyo mi sikatai but nachopinga ni watu kuforce kwamba sugu hajadukuliwa ila chadema kuchelewa wamekosea
Viol Na wewe huna tofauti na wao we umejuaje kuwa sugu amedukuliwa? ikiwa aliyetoa taarifa sio yeyemwenyewe
 
Huyo mleta uzi nadhani ndiyo mhusika wa huo uhalifu wa kudukua hiyo account, lumumba safari hii wameshikwa wakashikika
Wao wanadhani ndio wanafanikiwa na propaganda zao kumbe ndio wanazidi kukaa uchi huku wameinama!
 
Uongo.Ni Sugu kabisa,sema wakubwa hawajakubaliana nae alivyoandika. Sisi sio vilaza kama kina Zitto mliowanyanganya laptop kulimokuwa na waraka.
Sio sisi sema mimi sio kilaza maana hujui kitu zaidi ya kushinda JF.

Acha kujifanya mjuaji kiasi hicho unaaibika mno humu siku hizi
 
Alikuwa na Sugu leo ila baada ya ujumbe kufika ndio amedukuliwa, alikuwa wapi muda wote. Kukosea sio shida wakubali na kujirekebisha tu.
Mwandishi wa kujitegemea wa JF ahahahaha pole sana wenzio YouTube huko wanalipwa!
 
Hapo hakuna cha kitanzi wala nini, nyinyi mbona alipo pigwa risasi mh Lissu hamkwenda kumjulia hali pale Nairobi?

Kumbe mkuki ni kwa nguruwe siyo? Mkianza wenzenu wanamaliza! Wacheni kulia lia
Hukumuona mama Samia pale hospitali Nairobiau hufuatilii chochote
 
Sio sisi sema mimi sio kilaza maana hujui kitu zaidi ya kushinda JF.

Acha kujifanya mjuaji kiasi hicho unaaibika mno humu siku hizi
Huyo mama ni mnyarwanda kila siku akitoka lumumba break yake ya kwanza ni pale rombo view kudoea bia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…