Joseph Mbiliyi (Sugu) awaumbua CHADEMA, akiri walichelewa Uwanjani kumuaga Mzee Mkapa

Na pia muungwana huwa anakubali pale alipopungukiwa

Natamani tujifunze kitu sie wa upande wa pili[emoji1][emoji1]
Umesahau pia kuwa dawa ya moto ni moto,
 
Sawa sawa, naona wanao lilalia wamesahau kuwa kinacho mponza kambale ni mdomo wake
Uhai wake alitwita malofa na wapumbavu kwahio lofa na mpumbavu kuchelewa sioni tatizo.


Ndukiiiii [emoji2089][emoji2089][emoji2089]
 
Haina haja ya kujua kama account ni yake au fake.
Na kama ni yake basi hongera kwake, maana anajitambua.
Siyo kila jambo siasa.
 
Mbona tulivyo itwa malofa hukukemea hiyo lugha iliyo tumiwa?
Haina haja ya kujua kama account ni yake au fake.
Na kama ni yake basi hongera kwake, maana anajitambua.
Siyo kila jambo siasa.
 
Wewe unao ushahidi kuwa walipewa ratiba sahihi? Kunamabadiliko yaliyofanyika kwenye ratiba ya awali.
Baada ya hilo tukio unsonekana moyo wako umefarijika, huo ni ujinga.
 
Kwa hapo ni kweli walichelewa au hawakufuata utaratibu maana kama Gari ya mwisho ni saa 1:30 na wao Jana walichoka na zile pilika Airport ni wazi walizimika usingizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…