Baba Kisarii
JF-Expert Member
- May 7, 2024
- 1,844
- 3,089
Huyo Museveni hana cha kunizidi, kama uzima ninao tena natembea kwa uhuru pasipo walinzi...Wewe na Museveni nani anamaisha muda huu
Yeye kutwa nzima na walinzi.... Hana uhuru kama niliona mie.... Yeye hata kama yupo na walinzi bado hawezi kununua uhai, atarudi mavumbini siku moja na hao walinzi hatakuwa nao..
Kwanza keshazeeka hivyo anachonizidi ni uzee pekee.