Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Elimu nzuri ni kuingea kiingereza?Sio dharau ndio ukweli halisi mwandalie mtoto elimu nzuri hata hizo English medium zinafaa sana tena ni cheap izo st kayumba ndio zinazotoa vijana wavuta bangi wakabaji walevi wa pombe za nimeyaona haya mana ata Mimi nilisoma kayumba miaka hiyo
Udsm haipo hata kwenye top 10 ya vyuo bora africa, unataka kusema nini?
Mbona na wewe unachanganya kiswahili na kingereza. Ni mzungu wewe?Mbona ID yako linasound kizungu..!?
Hukunielewa mkuu, hebu Pitia kwa kusoma vizuri majibu yangu kuhusu swali la "Mseveni kunizidi"Wewe SI ulikuwa unajitapa umemzidi mseven ulishajisahau kuwa hutaishi milele ukaanza kutamba?
Ni kweli zipo english medium ambazo walimu hawajui kiingereza. Na zipo.ambazo walimu wanajua. So inategemea na shuleNi wazazi limbukeni tu ndio wanaopeleka watoto wao huko wakiamini watapata elimu bora.
Cha ajabu watoto wanafundishwa kiingereza kibaya na walimu wa kuokoteza wao wenyewe hawajui lugha hiyo kwa ufasaha wanakaririsha watoto kiingereza kibovu.
usijali hao wanaosema hivyo ni roho mbaya zao tu kwa vile hawana uwezo.Mimi nimesoma English medium na sina huo uzungu
Hehe blaza matunguli yanagoma watoto wakiwa wanajua ki english nini maana umekomaa na hii kidumu na mfagio muda mrefuAmezichana vibaya shule za English Mediums na kuwaita " mbumbumbu "Watanzania wanao jistress kusomesha watoto wao kwenye shule hizo.
Ameongea point nyingi sana nenda kamsikilize mwenyewe You Tube.
Moja kati ya nukuu yake anasema " Waafrika tunataka kuwa kama wazungu. Wazungu hawataki kuwa kama sisi.
Tumekuwa mbumbumbu kiasi cha kulipa pesa ili watoto wetu watengenezwe wawe kama wazungu.
Cha ajabu hao tunao taka wawatengeneze watoto wetu wawe kama wazungu sio wazungu wala hawajui chochote kuhusu wazungu na uzungu
Swali Zuri sanaElimu nzuri ni kuingea kiingereza?
Yaani!! Huyu Jamaa nishida...English medium zilikufanyia nini?
IQ kubwa ni kiasi gani labda na ndogo ni ipi. Jamaa wameamua kusema vitu ambavyo wengi huwa tunaishia kuvifikiria tu na hata Kama kusema sio kwenye media.Ila tuache utani.
Wale vijana wa WACHOKONOZI ni vijana wazalendo na wenye IQ kubwa
Wametupita nini, toa mifano 2 au 3Kumbuka Kenya na Uganda wametupita kielimu jwa sababu ya lugha ya malkia. Angalau na sisi tujikomboe, hii lugha ni ya kimataifa huwezi kuikwepa. Wewe anzisha viwanda vingi vyenye tija, andika kila kitu kwa kiswahili, ili ueneze kiswahili duniani. Hata terminology za kisayansi uandike kwa kiswahili. Utaweza? Whether you like or not you ought to lean English. Naomba tu waalimu wa hizi shule wapikwe vizuri.
Ana matatizo sana huyu jamaaYaani!! Huyu Jamaa nishida...
Wakati Halmashauri ziko zinahangaika kuendelea kuzibadili shule zake from Swahili to English...huyu anaxidisha chuki.
Nakazia hapo hapo.Ila tuache utani.
Wale vijana wa WACHOKONOZI ni vijana wazalendo na wenye IQ kubwa
Kenya hawajatupita kwa lugha ya wazungu tu, hata hulks yao ni kama wazungu. Hapa Bongo watoto wanaosomeshwa huko nje kimataifa, international na English medium wanabaki na hulka za Kiswahili na kichawa tu.Kumbuka Kenya na Uganda wametupita kielimu jwa sababu ya lugha ya malkia. Angalau na sisi tujikomboe, hii lugha ni ya kimataifa huwezi kuikwepa. Wewe anzisha viwanda vingi vyenye tija, andika kila kitu kwa kiswahili, ili ueneze kiswahili duniani. Hata terminology za kisayansi uandike kwa kiswahili. Utaweza? Whether you like or not you ought to lean English. Naomba tu waalimu wa hizi shule wapikwe vizuri.