Mbona ID yako linasound kizungu..!?Mimi nimesoma English medium na sina huo uzungu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona ID yako linasound kizungu..!?Mimi nimesoma English medium na sina huo uzungu
Ambao hatujasoma English medium kumbe ni wavuta Bangi?Sio dharau ndio ukweli halisi mwandalie mtoto elimu nzuri hata hizo English medium zinafaa sana tena ni cheap izo st kayumba ndio zinazotoa vijana wavuta bangi wakabaji walevi wa pombe za nimeyaona haya mana ata Mimi nilisoma kayumba miaka hiyo
💯Kumbuka Kenya na Uganda wametupita kielimu jwa sababu ya lugha ya malkia. Angalau na sisi tujikomboe, hii lugha ni ya kimataifa huwezi kuikwepa. Wewe anzisha viwanda vingi vyenye tija, andika kila kitu kwa kiswahili, ili ueneze kiswahili duniani. Hata terminology za kisayansi uandike kwa kiswahili. Utaweza? Whether you like or not you ought to lean English. Naomba tu waalimu wa hizi shule wapikwe vi
Tatizo wala sio English, tatizo ni performance ya hizo shule ipo juu kuliko hizi za kayumba.Amezichana vibaya shule za English Mediums na kuwaita " mbumbumbu "Watanzania wanao jistress kusomesha watoto wao kwenye shule hizo.
Ameongea point nyingi sana nenda kamsikilize mwenyewe You Tube.
Moja kati ya nukuu yake anasema " Waafrika tunataka kuwa kama wazungu. Wazungu hawataki kuwa kama sisi.
Tumekuwa mbumbumbu kiasi cha kulipa pesa ili watoto wetu watengenezwe wawe kama wazungu.
Cha ajabu hao tunao taka wawatengeneze watoto wetu wawe kama wazungu sio wazungu wala hawajui chochote kuhusu wazungu na uzungu
Samahani mkuu wewe ulisoma English mediuam? kama sivyo kwa sasa unashinda vilabuni na kuvuta bangi? kama ni ndio ulifundishwa kwenye shule za kayumba kuwa utakuwa mlevi na mvuta bangi?English medium zinasaidia sana kwa usalama wa mtoto wako hata kama unakipato duni somesha hizi English medium mtoto wako atakuja na changamoto kwa rafiki zake waliofanikiwa hapo baadae hizo st kayumba watoto wanaomaliza huwa wanaishia kuja kushinda vilabuni na kuwa wavuta bangi
Aliyenizidi ni yule aishie milele tu.Sawa pamoja na kukuzidi uzee lakini unaweza mzidi kuanza kufa
Kwa hiyo Zablon wameacha kumwimbia Bwana wa majeshi wamegeuka kuwa waburudisha Ruto?Acha uongo ndugu, hao unaowafagilia hawana lolote la kutuzidi, Mseveni mwenyewe alikuwa mkimbizi hapa bongo unalijua hilo?
Ruto mwenyewe huwa anaazima Zabron singers wakamburudishe ikulu, unalijua hilo?
Wabongo tupo vizuri sana kuliko Wakenya na Waganda
Wangekuwa sio waburudishaji wasingekuwa wanapata views wengi huko social media, Ruto mwenyewe aliwafahamu kupitia aliwafahamu baada ya kuburudishwa huko social mediaKwa hiyo Zablon wameacha kumwimbia Bwana wa majeshi wamegeuka kuwa waburudisha Ruto?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Eti mtoto wangu amemaliza form four na div four sasa ni mwalimu eng med!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wazazi wengi wenyewe hata kiingereza cha kuombea maji hawakijui.
Wakisikia english medium wanajua kuna elimu bora kuliko kwingine.
Mwisho wa kozi mtoto anahitimu hajui kuongea kiingereza vema inabidi akimbizwe tena mitaani kupatiwa english course ya pre form one, huko nako anaenda kubabaishwa na vijana wa form six failure wasiojua vema kuongea kiingereza.
Mzazi anaishia kutapatapa asijue wapi kuna elimu bora kwa mtoto wake wakati naye ni dunya tu shule alikwenda lakini akaishia kusikojulikana kama alisoma au hakwenda hata darasa moja
Na wewe unavuta kwahiyo Kaka ?Sio dharau ndio ukweli halisi mwandalie mtoto elimu nzuri hata hizo English medium zinafaa sana tena ni cheap izo st kayumba ndio zinazotoa vijana wavuta bangi wakabaji walevi wa pombe za nimeyaona haya mana ata Mimi nilisoma kayumba miaka hiyo
Tanzania kwa sasa wako vizuri sana hapa Afrika Mashariki kuliko Nchi zingine. Kwa kutumia kipimo cha utalii wageni wengi wafurahi kuwa Tanzani na mawasiliano yanaeleweka. Hawa wengine wakiongea English hata haileweki lafudhi mbovu sana. Mtz akijua lugha anaongea unafurahi kusikilizaAcha uongo ndugu, hao unaowafagilia hawana lolote la kutuzidi, Mseveni mwenyewe alikuwa mkimbizi hapa bongo unalijua hilo?
Ruto mwenyewe huwa anaazima Zabron singers wakamburudishe ikulu, unalijua hilo?
Wabongo tupo vizuri sana kuliko Wakenya na Waganda
Wewe SI ulikuwa unajitapa umemzidi mseven ulishajisahau kuwa hutaishi milele ukaanza kutamba?Aliyenizidi ni yule aishie milele tu.
Waliobaki wote tupo sawasawa, tu mavumbi na mavumbini tutarudi
Amezichana vibaya shule za English Mediums na kuwaita " mbumbumbu "Watanzania wanao jistress kusomesha watoto wao kwenye shule hizo.
Ameongea point nyingi sana nenda kamsikilize mwenyewe You Tube.
Moja kati ya nukuu yake anasema " Waafrika tunataka kuwa kama wazungu. Wazungu hawataki kuwa kama sisi.
Tumekuwa mbumbumbu kiasi cha kulipa pesa ili watoto wetu watengenezwe wawe kama wazungu.
Cha ajabu hao tunao taka wawatengeneze watoto wetu wawe kama wazungu sio wazungu wala hawajui chochote kuhusu wazungu na uzungu
Usitumie kauli ya huwezi kuikwepa kuna mataifa yameikwepo na yanafanya vizuri kielimu na kiuchumi.Kumbuka Kenya na Uganda wametupita kielimu jwa sababu ya lugha ya malkia. Angalau na sisi tujikomboe, hii lugha ni ya kimataifa huwezi kuikwepa. Wewe anzisha viwanda vingi vyenye tija, andika kila kitu kwa kiswahili, ili ueneze kiswahili duniani. Hata terminology za kisayansi uandike kwa kiswahili. Utaweza? Whether you like or not you ought to lean English. Naomba tu waalimu wa hizi shule wapikwe vizuri.
Weka link mkuuAmezichana vibaya shule za English Mediums na kuwaita " mbumbumbu "Watanzania wanao jistress kusomesha watoto wao kwenye shule hizo.
Ameongea point nyingi sana nenda kamsikilize mwenyewe You Tube.
Moja kati ya nukuu yake anasema " Waafrika tunataka kuwa kama wazungu. Wazungu hawataki kuwa kama sisi.
Tumekuwa mbumbumbu kiasi cha kulipa pesa ili watoto wetu watengenezwe wawe kama wazungu.
Cha ajabu hao tunao taka wawatengeneze watoto wetu wawe kama wazungu sio wazungu wala hawajui chochote kuhusu wazungu na uzungu
Wapi nimesema navutaNa wewe unavuta kwahiyo Kaka ?