Joseph Mrindoko wa wachokonozi azichana vibaya shule za English Medium

Wewe na Museveni nani anamaisha muda huu
Huyo Museveni hana cha kunizidi, kama uzima ninao tena natembea kwa uhuru pasipo walinzi...

Yeye kutwa nzima na walinzi.... Hana uhuru kama niliona mie.... Yeye hata kama yupo na walinzi bado hawezi kununua uhai, atarudi mavumbini siku moja na hao walinzi hatakuwa nao..

Kwanza keshazeeka hivyo anachonizidi ni uzee pekee.
 
Mwisho mtaanza kupangiana vyama vya ku support, halfu mtaanza kupangiana dini, baadaye mataifa ya kutembelea, makabila ya kuoa kuolewa nayo, vyakula, ina ya simu ya kumiliki
 
Yaani tukasikilize anavyotutukana.... nehi
 
Kenya na Uganda wametupita kielimu kivipi wakati UDSM ndo chuo kikubwa kusini mwa Jangwa la Sahara na kaskazini mwa Mto Limpopo?
Unatumia kigezo gani kusema Kenya na Uganda wametupita kielimu?
 
Sio dharau ndio ukweli halisi mwandalie mtoto elimu nzuri hata hizo English medium zinafaa sana tena ni cheap izo st kayumba ndio zinazotoa vijana wavuta bangi wakabaji walevi wa pombe za nimeyaona haya mana ata Mimi nilisoma kayumba miaka hiyo
Vibaka, walevi, wakabaji hata uko English medium wapo.
 
Eti Muzungu anataka kuwa kama Mwafrika tangu lini

Mzungu atamani kuwa na low IQ kama Mwafrika.
Anatamani kununua gari na silaha nzito eti ateke kuwaua au kuwapoteza ndugu zake kama ngozi nyeusi afanyavyo.
 
 
Sawa pamoja na kukuzidi uzee lakini unaweza mzidi kuanza kufa
 
Ni malezi yako tu mabovu kama mzazi
 
Hana akili, mwanangu darasa la 6 kayumba,.. nikimlinganisha na huyu darasa la tatu english medium ni mbingu na ardhi
 
Yani sisi tumsikilize mrindoko !!?? Mtk yako
 
Ameongea point nyingi sana nenda kamsikilize mwenyewe You Tube.
Mtu wa hovyo UTAMSIKILIZAJEE..!!!!
 
Dunia. Ya leo mnaongelea lugha za kigeni duh mpo nyuma sana polen hv hapa dar demu wa kizungu nampata wapi nina haaam nae
 
I disagree with you! This is not true.
 
shule za mchepuo wa kingereza zipo pia za serikali je hizo pia hazina maana? Ni kwamba kila mtu atachagua shule gani ampeleke mwanae kutokana na kipato chake na siyo kudhihaki kwamba hazina maana katika kutoa elimu.Mzazi ndiyo mwenye jukumu la wapi anapenda wanae wasome ikiwa uwezo anao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…