Joseph Musukuma: Vyuo 11 vinanitaka nikafundishe uchumi, UDSM Ikiwemo

Huyu inawezakana hana elimu ila ana kili nyingi sana,ndio maana anajiamini kuwa akiwekwa na mchumi wa darasani ambaye ana elimu na hana akili anajuwa kabisa kuwa atamgalagaza...
 
Ni kweli tunawadharau wasomi, lakini tukipata kesi tunawakimbilia au tukihitaji upasuaji tunawakimbilia, tukihitaji mchanganuo wa Kodi na ukaguzi tuwakimbilia, ila matusi kila siku kuwa wasomi hawana faida.
 
Huyu hajuwi kutofautisha kuwa " motivational speaker" na "lecturer" . Yeye anaitwa kama motivational speaker

Yeyr anataka aonekane Kama lecturer kisa kapewa PhD na taasisi ambayo Wala haitambuliki kimataifa ya wahindi.
 
Na lugha itakayotumika kwenye hiyo debate kiwe kimalkia, maana debate ya madokta na maprofesa hii........tushuhudie namna king msukuma anavyotiririka na yai.
 
Kumbe Hili Jambo Limechukua Sura Mpya Kabisa
Naona Taratibu Wasomi Wakifyatishwa Mkia Na Msukumu
Amepiga Umber Cut, Chembe Kidefu Moja Kali

Wasomi Tokeni Vyuoni Mjibu Hoja Na Ameomba Mdahalo Ili Mpate Kuumbuka Wote
 
Kwani wewe unaelewaje maana hasa ya elimu?
Hivi mtu akiifundisha jamii kujikwamua kiuchumi hiyo siyo elimu?
Yeye hajapata mali serikalini isipokuwa kaingia nayo tu.
Je akiwafundisha watu namna ya kupata mali itakuwa siyo elimu!
 
Kumbe Hili Jambo Limechukua Sura Mpya Kabisa
Naona Taratibu Wasomi Wakifyatishwa Mkia Na Msukumu
Ameliga Umber Cut, Chembe Kidefu Moja Kali

Wasomi Tokeni Vyuoni Mjibu Hoja Na Ameomba Mdahalo Ili Mpate Kuumbuka Wote
Hahahaaa
 
Huyu inawezakana hana elimu ila ana kili nyingi sana,ndio maana anajiamini kuwa akiwekwa na mchumi wa darasani ambaye ana elimu na hana akili anajuwa kabisa kuwa atamgalagaza...

Punguzeni sifa za kijinga, mmeshaona wahadhiri wa chuoni hawana akili halafu msukuma STD seven failure ndio mwenye akili?. Mtu mwenye akili hajitangazi bali anajulikana tu. Kama ana akili apewe topic ya namba akafundishe maana maana mtu akiwa na pesa anawafanya mnadharau wenye elimu.
 
Punguza hofu...
 
Huyo anatafuta kuziba ombwe la kutokusoma kwa kujilinganisha na wasomi wengine. Ndio mjue hata matajiri wanatamani kuwa wasomi Seema ndio hivyo.
Sasa uchumi wa manyokanyoka hawa wasomi watauelewa, au atanza kuwanywesha dawa za miti shamba ili waingiwe na maruweruwe halafu ndo waanze kumsikiliza πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.
 
Na lugha itakayotumika kwenye hiyo debate kiwe kimalkia, maana debate ya madokta na maprofesa hii........tushuhudie namna king msukuma anavyotiririka na yai.

Msukuma aliwahi kuongea broken bungeni bunge likacheka lote. Msukuma aendelee kuitwa Dr lakini ajue kufundisha chuo kikuu sio lelemama.
 
Kwani wewe unaelewaje maana hasa ya elimu?
Hivi mtu akiifundisha jamii kujikwamua kiuchumi hiyo siyo elimu?
Yeye hajapata mali serikalini isipokuwa kaingia nayo tu.
Je akiwafundisha watu namna ya kupata mali itakuwa siyo elimu!

Ndugu, Hawa matajiri Wana Siri Sana kuhusu utajiri wao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…