Wajiajiri si wametukamua 250mil za kiinua mgongo tatizo liko wapi?
Hata Getrude Mongella ndio style yake.Sio maneno mkuu hii ni style ya huyu mama sasa Mwanaume mzima kuanza kufanya hivyo unadhani akili zipo tena?
View attachment 1529810
Si wamefanana sasa au we huoni😄😄Lol hivi umefikiria nini aisee!! Nimecheka kinyamaa!! Ha ha ha haaa!!
Hata Getrude Mongella ndio style yake.
Kwa namna moja au nyingine kuna pointi.Wajiajiri si wametukamua 250mil za kiinua mgongo tatizo liko wapi?
Tena wakatutukana
Mkuu ili tushinde, tunahitaji hadi jambazi watuunge mkonoWabaki hko hko wakijenge chama
Ova
Tujifunze kuwa siasa sio uadui bali mtu akitusaliti tusimwamini kumpa uongozi, lakini anaweza kupokelewa ma kupewa uanachama wa kawaida30 kwa nini usiwakalibishe kwenye chama chako kipya?