Uchaguzi 2020 Joseph Selasini, aviangukia vyama kuwasamehe vijana walioshindwa kura za maoni baada ya kuvihama vyama vyao

Uchaguzi 2020 Joseph Selasini, aviangukia vyama kuwasamehe vijana walioshindwa kura za maoni baada ya kuvihama vyama vyao

Selasini akae kimya msaliti wa umma huyu na asubiri tu kushindwa October.
 
Huyu mzee nae kaishiwa pumzi bado mapema sana. Asubiri mbio zianze,hakuna rangi ataacha kuona
 
Watueleze kwanza kwanini wenzao wa ccm hawajahama wao wamehama vyama?
 
"Mimi nimechukua pesa kutoka mfukoni kwako,kama huwezi kufanya kazi kaolewe" alisikika kiongozi mkubwa akimjibu mpigakura wake mbele ya makamera
 
Wajiajiri si wametukamua 250mil za kiinua mgongo tatizo liko wapi?
Kwa namna moja au nyingine kuna pointi.
Mtu hujifunza zaidi pale anapofanya makosa.
Tusishindwe na ccm imewapokea walio wao hadi Lowasa.
Nasi tuwapokee lakini wakae karantini...chini ya uangalizi kwa muda wa kutosha
Tena wakatutukana
 
Wabaki hko hko wakijenge chama

Ova
 
30 kwa nini usiwakalibishe kwenye chama chako kipya?
 
30 kwa nini usiwakalibishe kwenye chama chako kipya?
Tujifunze kuwa siasa sio uadui bali mtu akitusaliti tusimwamini kumpa uongozi, lakini anaweza kupokelewa ma kupewa uanachama wa kawaida
 
Back
Top Bottom