Joseph Selasini: Wanasiasa wengi wa Upinzani wamekuwa masikini sababu ya kutoa

Joseph Selasini: Wanasiasa wengi wa Upinzani wamekuwa masikini sababu ya kutoa

Suley2019

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2019
Posts
2,203
Reaction score
5,610
Joseph Selasini, Makamu Mwenyekiti NCCR Mageuzi amesema kwamba ukiingia kwenye siasa hasa zile za upinzani jiandae kutoa zaidi kuliko kupokea, na wanasiasa wengi wamekuwa maskini kwa sababu ya kutoa.

 
Si bora akaachana na ubunge hizo hela akasaidia masikini/walemavu
 
Kiuhalisia uongozi ni kujitoa kwaajili ya wengine, na wala siyo kunufaika kutoka kwa wengine. Uongozi ni kuwasaidia unaowaongoza, siyo wanaokuongoza wakusaidie wewe kutengeneza maisha. Ndiyo maana nchi zilizoendelea, huwezi kuona maskini anagombea uongozi. Maskini atawezaje kuwasaidia maskini? Kwetu maskini wanahangaika kuupata uongozi ili waondokane na umaskini, ndiyo maana wakiupata uongozi, wanageuka kuwa majizi.
 
Back
Top Bottom