Asitupangie cha kufanya , kwani mahakama ipo kuangalia wingi wa watu au ipo kutenda haki, yani Hakim au jaji ashindwe kutimiza majukum yake kisa watu , hawa watu wa wapi,Joseph Tadayo amedai Watu kujaa mahakamani, kunaweza mkosesha haki Tundu Lissu.
View attachment 3316719
Lissu akivurugikiwa inakuhusu nini, kwamba leo ndo mnapenda sana lissu baada ya kumbambikia kesi, uchawa na unafiki pelekeni ccm,Tadayo yuko sahihi 100%. Nyumbu za ufipa zitamvurugia Lissu
Mahakama inafanya kazi kwa kuhofia wingi wa wasikilizaji au muongozo wa kisheria?Joseph Tadayo amedai Watu kujaa mahakamani, kunaweza mkosesha haki Tundu Lissu.
Joseph Tadayo ni Mbunge wa Jimbo la Mwanga Mkoani Kilimanjaro kupitia CCM na Taaluma yake ni Mwanasheria.
Ametoa mifano kadhaa kwamba;
1. Dr. Lamwai alikuwa akimtetea Muuza dawa za kulevya, Radio Tanzania(ya Umma) ikatoa Shinikizo kwamba mtu huyo asipofungwa itawashangaza Wananchi. Jaji Makanja akatupilia mbali kesi hiyo kwa sababu kulishakuwa na Shinikizo
2. Yesu alipotaka kusurubiwa, Watu walishinikiza asurubiwe, Herode akanawa Mikono na kumkabidhi Yesu kwao.
3.
View attachment 3316719
Mkuu nchi hii ina mijitu mijinga sanaMahakama inafanya kazi kwa kuhofia wingi wa wasikilizaji au muongozo wa kisheria?
Mmechelewa.kenny sarowiwa alienda, madhoud abiola alienda, mohamed morsi alienda na nchi zikabaki salama, nahuyu tukiona akienda nchi itakuwa salama ataenda
no tunae, nisuala la kuamua, na alishasema wale hakuwatuma yeye,Mmechelewa.
Huyu Tadayo ni Mwanasheria Nguli kabisa ila angalia anavokuwa chawa ili arudi tu bungeni.Joseph Tadayo amedai Watu kujaa mahakamani, kunaweza mkosesha haki Tundu Lissu.
Joseph Tadayo ni Mbunge wa Jimbo la Mwanga Mkoani Kilimanjaro kupitia CCM na Taaluma yake ni Mwanasheria.
Ametoa mifano kadhaa kwamba;
1. Dr. Lamwai alikuwa akimtetea Muuza dawa za kulevya, Radio Tanzania(ya Umma) ikatoa Shinikizo kwamba mtu huyo asipofungwa itawashangaza Wananchi. Jaji Makanja akatupilia mbali kesi hiyo kwa sababu kulishakuwa na Shinikizo
2. Yesu alipotaka kusurubiwa, Watu walishinikiza asurubiwe, Pilato akanawa Mikono na kumkabidhi Yesu kwao.
3. Kitabu cha Matendo ya Mitume Kesi ya Mtume Paulo ilicheleweshwa kwa Miaka Miwili sababu kila akitaka kutoa hukumu watu wamejaa pale nje. Ikabidi ahamishwe akisindikizwa na Farasi Mia mbili huku ikayolewa huko mbali kusipo na watu
Nini Maoni yako?
View attachment 3316719
Kama atakavyokwenda Samia, au unasemaje?kenny sarowiwa alienda, madhoud abiola alienda, mohamed morsi alienda na nchi zikabaki salama, nahuyu tukiona akienda nchi itakuwa salama ataenda
Kwani Lissu kamuomba ushauri?Joseph Tadayo amedai Watu kujaa mahakamani, kunaweza mkosesha haki Tundu Lissu.
Joseph Tadayo ni Mbunge wa Jimbo la Mwanga Mkoani Kilimanjaro kupitia CCM na Taaluma yake ni Mwanasheria.
Ametoa mifano kadhaa kwamba;
1. Dr. Lamwai alikuwa akimtetea Muuza dawa za kulevya, Radio Tanzania(ya Umma) ikatoa Shinikizo kwamba mtu huyo asipofungwa itawashangaza Wananchi. Jaji Makanja akatupilia mbali kesi hiyo kwa sababu kulishakuwa na Shinikizo
2. Yesu alipotaka kusurubiwa, Watu walishinikiza asurubiwe, Pilato akanawa Mikono na kumkabidhi Yesu kwao.
3. Kitabu cha Matendo ya Mitume Kesi ya Mtume Paulo ilicheleweshwa kwa Miaka Miwili sababu kila akitaka kutoa hukumu watu wamejaa pale nje. Ikabidi ahamishwe akisindikizwa na Farasi Mia mbili huku ikayolewa huko mbali kusipo na watu
Nini Maoni yako?
View attachment 3316719
Mtu analeta mambo ya Bethlehem bongoMahakama inafanya kazi kwa kuhofia wingi wa wasikilizaji au muongozo wa kisheria?
Ukweli ni kwamba CCM wanaogopa wingi wa watu mahakamani utaondoka na Lissu.Asitupangie cha kufanya , kwani mahakama ipo kuangalia wingi wa watu au ipo kutenda haki, yani Hakim au jaji ashindwe kutimiza majukum yake kisa watu , hawa watu wa wapi,
ni jukumu la polisi na magereza kuhakikisha usalama wa lissu, fikiria yule mama hasimu wa lissu aliyengangania kumwona lissu jela alikuwa anamlelekea nini, mumetaka uwwzi kwenye kesi haya kesi inaendeshwa kimtandao dunia yote inashuhudia, kinachofanya watu waende kisutu kufanya nini? lissu hakuwepo mahakamani nimawakili tu walikuwa wana submit mapingamizi wewe unaenda kutanua makwapa, wengine wameshikwa kwenye maduka ya watu baada ya waathirika kupiga simu polisi, unaenda kwenye kesi badala yake unaingia dukani kwa mtu unaanza kuimba no erection no ejaculation, mambo gani ya kipuuzi hivyo?Ukweli ni kwamba CCM wanaogopa wingi wa watu mahakamani utaondoka na Lissu.
Nguvu ya umma vs nguvu ya polisi
Kunyamaza siyo amani ball ni kusalimu amri kwa majukumu ya kijamii
Silence surrenders public responsibilities