Joseph Tadayo: Shinikizo la Umma linaweza mkosesha haki Tundu Lissu

Day one huwa kuna vitu vya kusaini kisheria, 'am close minded'
 
Huyu nae nilikuwa namuheshimu zamani,Lakini alipoingia kwenye Siasa tena upande wa wahuni nilimshusha heshima yake.
Uthibitisho ni huu ushauri wake wakipuuzi
 
kenny sarowiwa alienda, madhoud abiola alienda, mohamed morsi alienda na nchi zikabaki salama, nahuyu tukiona akienda nchi itakuwa salama ataenda
Wewe utaenda kabla yake
 
Wapi Jaji Makanja alisema anatupilia mbali shauri kwa sababu ya shinikizo?

Nani kamwambia Mwananchi kufuatilia kesi ni kutoa shinikizo?

Alafu anapoweka mifano ya Yesu na Mtume Paulo kwa hiyo anataka kutuambia ni kweli Lissu anafanana na Yesu na Mtume Paulo?

Anataka kutuambia na kututhibitishia luwa ni kweli wanamuonea Lissu kwa Mashtaka ya Uongo kama ilivyokuwa kwa Yesu na Mtume Paulo?
 
Imebidi nirudi juu kuangalia ni nani anaandika ujinga kama huu, kumbe ni wewe, maana nilitaka kutukana lakini baada ya kujua ni wewe nikaona ni haki yako kuandika hayo
 
Imebidi nirudi juu kuangalia ni nani anaandika ujinga kama huu, kumbe ni wewe, maana nilitaka kutukana lakini baada ya kujua ni wewe nikaona ni haki yako kuandika hayo
kweli?
 
Kweli kabisa, kuna hoja yoyote unaweza kuandika zaidi ya mambo kama hayo uliyoandika? Ndiyo maana watu hawatakiwi kukulaumu maana ndiyo akili yako ilipoishia.
 
Ukweli ni kwamba CCM wanaogopa wingi wa watu mahakamani utaondoka na Lissu.

Nguvu ya umma vs nguvu ya polisi

Kunyamaza siyo amani ball ni kusalimu amri kwa majukumu ya kijamii

Silence surrenders public responsibilities
Chadema ni chama kinachofuata misingi ya sheria , haki n.k Mbowe mbona hawakuondoka nae , wameumiza watu then wanataka jificha kwenye kichaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…