Josephat Gwajima kuliamsha dude kesho saa 5 asubuhi

Josephat Gwajima kuliamsha dude kesho saa 5 asubuhi

Ok sawa na chuo cha uvuvi Wajapan watakuwa tayari wamemaliza neema mwaka huu wakazi wa kawe tunachagua kuhamia Marekani au kuwa mabaharia najivunia kuwa mkazi wa kawe.
Mimi nilishajiandaa kuwa konda wa tren
 
Eeeee shemeji yake ni noma .Rais Samia baada yankisema anaandaa mkeka baadae alivosema Jamhuri ya muungano wa Tanzaniaaaaa kwa msisistizo .shemeji mtu aliruka hewani kuijibu .nilicheka hadi nikalia haki ccm wanapenda ulaji ni balaa
Kumbe uliiona mkuu ..Ile inaitwa kujichekesha mbele ya boss .
 
Back
Top Bottom