Joseverest is Back!! (Hatimaye nimerudi tena)

Mkuu karibu tena pia wasamehe wote waliokuzushia yasiyo ya ukweli wowote
Waombee tu Mungu awasamehe na kuwapa maisha marefu wazidi kukuona kwenye Nafasi yako pendwa.
Kitambo sana nimeshawasamehe na sitakwaruzana nao kwa namna moja au nyingine mkuu
 
[emoji15] [emoji15] [emoji15] Mmmh hitima kabisa? waambie nimerudi
 
Bora umerudi kiongozi, kuna jamaa ana avator kama yako anateremsha matusi kweli kweli nikazani ni wewe mkuu!!
[emoji15] [emoji15] [emoji15] Pole sana mkuu kwa matusi, huyo jamaa simuelewi ana lengo gani...ila sio mimi aseeh nawaheshimu members wengi tu humu jukwaani
 
Joseverest samahani hao Watu wa Usalama si ndiyo wale wenye Kituo cha ' Daladala ' pale Magomeni au kuna wengine tena ambao labda Sisi hatuwajui?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…