Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
- Thread starter
- #241
Kitambo sana nimeshawasamehe na sitakwaruzana nao kwa namna moja au nyingine mkuuMkuu karibu tena pia wasamehe wote waliokuzushia yasiyo ya ukweli wowote
Waombee tu Mungu awasamehe na kuwapa maisha marefu wazidi kukuona kwenye Nafasi yako pendwa.