Joshua na Clemence hii ni kwa ajili yenu. Sasa mlale kwa amani zaidi

Vita haina macho, najua hapa kinachowauma, ni vijana wasfrika, wakristo(wana majina ya kikristo), kuuliwa na waarabu(Muslim),
Hapa hapa bongo, kuna watuwanauliwa kila siku, Kule nigeria, kuna wakristo 200+wameuliwa na magaidi ya kiislam(meusi), lakini hiyo haiwaumi, maana ni jitu jeusi limeua mweusi mwenzie!
South Afrika, wenyeji weusi wanaua weusi wahamiaji kila Leo, lakini hutasikia hizi hisia, hao vijana walijikuta, "wrong place, at the wrong time" It's just war nothing personal,
 
Kwani kuvaa boksa ya jeshi ni dhambi? Mbona unakua na akili mgando kama za mabakabaka wa bongo?
Achana na huyu fala maji

Unavbishana na mtu anaeanini akikuua anaenda kupata mabikra 72πŸ‘½
 
Kwani kuvaa boksa ya jeshi ni dhambi? Mbona unakua na akili mgando kama za mabakabaka wa bongo?
Angalia mazingira usiwe mpumbavu ,wanajeshi wa kigeni wako kibao kweny jeshi la Israel ..Hao Hamas walimfuata Tanzania?
 
Angalia mazingira usiwe mpumbavu ,wanajeshi wa kigeni wako kibao kweny jeshi la Israel ..Hao Hamas walimfuata Tanzania?

Tulia wewe

Mme wako alikuwa anakucheat

Marinda hauna
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…