Uchaguzi 2020 Joshua Nassari amuomba radhi Rais Magufuli kwa mabaya yote aliyomtendea akiwa CHADEMA!

Mashekhe Ubwabwa wa CCM waungana na kumwaga Povu dhidi ya Alhaj Sheikh Ponda Issa Ponda
 
Hii ndio branding ya watu wa-Arusha, msimshangae baada ya miaka minne mkamsikia anaongea maneno hayo-hayo akiwa chama kingine
 
Ndio hao hao bwashee!

Ni kama vile wamachame, wamarangu, warombo wote ni wachaga!
Hapana, yani ukaribu wa chimbuko Mmeru anaweza kuwa almost njia moja na mchaga, lakini sio Maasai mkuu. Nimekaa nao Kisimiri near mlima Meru
 
Nassari ni mmeru sio mmasai anawasemea wamasai yeye kama nani, kujua lugha sio ndo kuwa mhusika
Mambo ya ukabila yanatoka wapi tena. Kuongea kilugha siyo ukabila bali hizo stori zako za kuwasemea wamasai ndiyo ukabila. Mimi sikumsikia akisema anawasemea wamasai.
 
John Pombe Magufuli ni kama maji usipoyanywa utayaoga
28102020🇹🇿👍
 
Njaa
 
Hivi hizi tabia za kuongeqa kikabila katika majukwaa zimeanza lini? sasa si bora yule aliyesema waislamu wamchague fulani maana ni ujumla wa makabila yote japo pia siungi mkono lakini hili la kusema kabila fulani tumchague fulani na hakuna wakulikemea hili litakuja kuleta shida sana. Hivi ingekuwa sijui Mbowe au mpinzani yoyote kaongea kikabila nadhani angeshakula ban. Tuacheni ukabila na udini kura kila mtu atapiga kivyake Tanzania tuna vyama vya siasa sio dini au ukabila.
 
Cheo cha kutunukiwa baada kusaliti sio kitamu inakubidi siku zote uendeshwe kama nzige, unakuwa huko huru ata elimu yako na uwezo wako unadumaa huwi tena na mawazo chanya, mfano hapo kaambiwa omba radhi na apo apo kaomba radhi, emu wasifu na uwaombee kura ccm apo apo kafanya ivyo ivyo, yaani hakuna uhuru na wapo wengi waliokuwa na uwezo mkubwa kuchallage mambo sasa wapo wapo tu akina Kafulila, Lipumba, akina Dr slaa na wambunge wabunge wengi sasa they are good for northing.
 
Rubbish ......... hawa vijana kama Nassari wanaoona siasa ni kama betting ipo siku watajuta na kuomba ardhi ipasuke
 
Huyo hana akili
 
Dogo angekuwa Chadema ubunge ungekuwa halali yake tena lakini akanunulika sasa anajuta kuliona game changer Lissu anavyowakimbiza mpaka hilo jiwe lao
Hakika leo ndiyo nimeamini kwa 100% kuwa ccm Arusha ilisha kufutwa siku nyingi sana.

Uwanja wamejaza wanafunzi tupu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…