Naomba useme aliye bora zaidi ni nani? Sababu raha ya kuchekesha uwe na flexibility ya aina flani! Joti namkubali sababu ya hio character! Pia ana composition ya matukio tofauti tofauti!Nakubaliana na wewe katika brand positioning ni kitu ambacho Joti kawashinda wenzake. Management yake na yeye wanapiga kazi na inaonekana hawa wengine wamelala mbali ya talents zao.
Ila tukizungumzia katika talent ya kuchekesha yeye sio bora zaidi
Moja ya talent ambayo joti nam appreciate ni hii ya kivaa uhusika wa aina tofauti tofauti za watuNaomba useme aliye bora zaidi ni nani? Sababu raha ya kuchekesha uwe na flexibility ya aina flani! Joti namkubali sababu ya hio character! Pia ana composition ya matukio tofauti tofauti!
Wengi wako na flat character ukiangalia comedy zake 10 times in a row hutaman tena kumuona! Wanaishia kuboa tu ila Joti hachuji sababu anaswitchb
Idris kavamia fani.Katika watu ambao sielewagi hata wanafanya nn basi ni Idris
Tatizo wale walishaishiwa Mzee , maneno mengi action zero, japo walianza fresh Sana , Joti kaanza akiwa na akina bambo na mpoki , kuna wakat walinusurika kichapo Songea back to 2000 huko , kumantain status tangu kipind hcho cha analogia up to the digital generation sio kazi rahs brazaHakuna mtu anafuatilia Oka martin
Wananifurahisha sana kwenye vichekesho vyao kama utofauti wa uzunguni na kwetu, jala na chalampa, utani wa simba na yanga.
Upo sawa. Na ndo maana namkubali Joti kwa mengine ila si stand up comedy. Kusema yeye ni the best ni kumjaza sifa zisizo stahili badala ya kumpa changamoto ajiongeze kwenye stand up comedy. Ukimuangalia Erick Omondi anajitahidi zote, hizi za ukatuni kama Joti na vile vile stand up comedy.mtu si lazma awe bora katika kila kitu mkuu, hata mr bean hafanyi stand up comedy na bado anaheshimika kutokana na aina yake ya comedy
Upo sawa. Na ndo maana namkubali Joti kwa mengine ila si stand up comedy. Kusema yeye ni the best ni kumjaza sifa zisizo stahili badala ya kumpa changamoto ajiongeze kwenye stand up comedy. Ukimuangalia Erick Omondi anajitahidi zote, hizi za ukatuni kama Joti na vile vile stand up comedy.
Labda yawezekana...Mkuu labda Tu humfatilii script zake , jamaa ni nondo tuu yaan , jamaa kajaaliwa maneno Sana kulingana na tukio
Standup komed mpoki ana fit ila eric omond ni zaidi maradufuni kweli brother ila usisahau kuwa stand up comedy inawafaa watu ambao ni story tellers wazuri sana yaani sio ya kila mtu, tofauti na maigizo ambayo yanategemea zaidi story, uhusika na script.
kwa sasa sio hizo comedy tu mkuu ni kama norm kwenye entertainment industry kutumia vitu vilivyotrend ili kupata attention kirahisiKipaji cha joti kilitegemea combination ya orijino komedi.
Peke yake hawi bora na sikuizi nimemuona kakosa ubunifu kabisa now namuona mara kibao anazifanyia video zile memes za kuchekesha ambazo zime trend mtandaoni
Na hela kwenye live shows ipo kwenye stand-up comedy.ni kweli brother ila usisahau kuwa stand up comedy inawafaa watu ambao ni story tellers wazuri sana yaani sio ya kila mtu, tofauti na maigizo ambayo yanategemea zaidi story, uhusika na script.
Yeah kwenye angle ya commercial inampa faida ila kwenye creativity inamdumazakwa sasa sio hizo comedy tu mkuu ni kama norm kwenye entertainment industry kutumia vitu vilivyotrend ili kupata attention kirahisi
naona anaflow nayo na inampa numbers nzuri tu
Hivi joti ashawahi fanya standup comedy kweli?Na hela kwenye live shows ipo kwenye stand-up comedy.
Standup komed mpoki ana fit ila eric omond ni zaidi maradufu
Cheka tu sijawahi sikia hilo kundi mzee..Eric omondi ndio area yake ila mpoki naona ni kama kipaji tu japo hajakitumia sana
ila kwa sasa cheka tu kidogo ndo inaanza kuinua stand up comedy na kutengeneza generation mpya ya comedians. i hope uko mbeleni tutapata watu kama eric ama professor harmo