Joto la sasa la Dar linaweza vunja rekodi

Vyumba vitatu AC tatu, sebulen feni tatu plus friji. Nyumba niliyotoka nilikuwa natumia unit 3 tu kwa siku.
Ukiamua kubisha bisha tu ni haki yako
Iyo Ac kilo ngapi. 1 au 2 maana kwa kawaida nikiwasha ac yangu full 24 hrs natumia unit 15 hadi 14 per day
 
Katika vitu nilivyowahi jichanganya basi ni kuishi dsm yaan korodan zinaumka ngozi utadhani zimechemshwa yaan daa! Nataman kurudi zangu kahama machimboni tatizo raman kule bado hazisomi ni hatariii sana dsm sipawezi
Mi mwenyewe dar sipawezi nataka nijipange mwezi wa sita nirudi mkoan

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
 
kwa hiyo unataka tukusaidie nini? endelea kukaa dar.sisi huku aahh maisha safi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…