Joto la sasa la Dar linaweza vunja rekodi

Huku kwetu vingunguti, nyumba ni fupi, joto kali ndani, bado mbu, kunguni,
#Mbu_kunguni_Joto!
Msione watu wamelala mchana mkasema wavivu ni kichapo cha usiku [emoji16][emoji16][emoji16]
Nyie machawa mnatakiwe muive kabsaa hilo joto halitoshi kwenu
 
Joto la kawaida sana hilo...

Watu wa kusini au kaskazini mwa dunia, summer zao huwa zinakuwa na fukuto zaidi ya hilo...

India kipindi cha joto kuna watu huwa wanafariki sababu ya joto kali, watu wanaoishi karibu na mito huwa wanajiloweka tu mitoni...
 
Bila shaka ni mvua inajikusanya.
 
Dah!...ni hatari kweli kweli
 
Mbinu nyingine ni kujimwagi maji mara kwa mara mkuu....usikae mbali na bafu

Sasa wale wazee wa migegedo akina DeepPond sijui wanaishije na joto hili aisee. Ni hatari🀣🀣🀣🀣
 

Maeneo ya pwani hayafai kabisa
 
Vyumba vitatu AC tatu, sebulen feni tatu plus friji. Nyumba niliyotoka nilikuwa natumia unit 3 tu kwa siku.
Ukiamua kubisha bisha tu ni haki yako
na fredge tenaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ we muongo asee
 
Sijui mkuu ila vyumba viwili vinashare compressor moja kubwa. Sijui inaitwa compressor ile sehem inayokaa nje inazunguka
tena ivo ndo unabugiabalaa kupooza vyumba viwili sio mchezoπŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…