Joyce Kiria aonekana mwenye furaha sana ndani ya penzi jipya baada ya ndoa zake mbili kuvunjika

Joyce Kiria aonekana mwenye furaha sana ndani ya penzi jipya baada ya ndoa zake mbili kuvunjika

Most of those women kule TAMWA ni single moms. Akili kichwani

Unless kuna matendo yanayohatarisha afya yako kutofautiana kwenye mahusiano kupo popote, sio kwenye ndoa tuu; hata kwa baba/mama na mtoto zipo

Za kuambiwa changanya na zako
 
Siku Ukiwajua wanawake vzr utachagua kuwa padre wewe...

Kitu inapigwa mchana usiku na wewe unailalia

Jiangalie sana
Najua Sana, ndiyo kukosa kinyaa. ukijua fika kuwa imepigwa mchana kutwa, halafu nikailalia..ndio kukosa kinyaa. Kama hujui, it is well and fine! Sawa na kumtoa kwenye baa...unajua kuwa kila siku Kama Mungu kaleta neema ya wateja anaweza pigwa na Kumi, nawewe unailalia...kukosa kinyaa
 
Nami nakuchukia[emoji44][emoji44][emoji44][emoji44][emoji44]

Halafu kwani mi nataka unipende sasa!?
🤣🤣🤣🤣Pole mwaya kwa kunibeba kwenye akili na moyo wako
Mi hata skujui🙄🙄

Nikisha comment imeisha
 
Hainaga uchafu ile[emoji28][emoji28][emoji28]

Ndio maana hata hapo kwako unapopaamini wewe unaweza kuta wenzio wanapita mchana na wewe usiku unapata flavor ileile

Tuwatakie heri
Sijui, as long as sijui Sina sababu ya kuwa na kinyaa. Sasa wewe unajua kabisa kuwa Mama D ni manungayembe, msimbe, Nyailya, nawe unakwenda kujitosa humo mchana kweupeeeee
 
Sijui, as long as sijui Sina sababu ya kuwa na kinyaa. Sasa wewe unajua kabisa kuwa Mama D ni manungayembe, msimbe, Nyailya, nawe unakwenda kujitosa humo mchana kweupeeeee

Unafikiri wanaume wanaojitosa hapo hawaijui historia yake!?
Inawezekana wanapenda wa hivyo
 
As long as huna ushahidi,hujui, them huna sababu ya kuwa na kinyaa. Merciful anajulikana kuwa kaachika Mara 10, vyuo Kumi wenzetu wanaita, nawe unajimwaga humo! Kinyaa

Wenzio wanataka wenye uzoefu
 
We unamatatizo ya akili na unaitikadi za kutetea ujinga halafu unajiita mama shame on you

Nimetetea ujinga gani!? Kusema kuna watu wanapenda kuingia kwenye mahusiano na watu wenye uzoefu ni utetezi huo!? Kwani ni uongo

Wewe leo hii wewe utamlaumu Joyce au Dida au Diamond kwa kuingia kwenye mahusiano na mtu useme huyo mtu kaonewa au kadanganywa? Ni kipi cha kwao kisichojulikana?

Wewe huoni kwamba hayo yanayojulikana ya kuwa na mahusiano mbalimbali ndio yanawafanya wanaowakubali wawaone wanafaa?

Hebu tumia akili yako kuwaza sawasawa wewe
 
Kama ni ngumu kusema mbona wewe umesema haigizii..Au unajuaje kuwa ana furahaa kama si kuona hayo maigizo?!

Nimesema ninachokiona na kukisikia

Sasa wewe unataka nione furaha halafu niseme naona huzuni??🤣🤣🤣🤣

Mimi siwezi kuwatabiria nisiyoyajua
 
Ila wale motivators na sijuwi mabingwa wa kushauri mahusiano ya kimapenzi na ndoa, sielewi kwanini ndio failures wa kwanza na mara nyingi kuliko sisi?!
Inastajaabisha sana sana aise…
 
Back
Top Bottom