Joyce Kiria aonekana mwenye furaha sana ndani ya penzi jipya baada ya ndoa zake mbili kuvunjika

Joyce Kiria aonekana mwenye furaha sana ndani ya penzi jipya baada ya ndoa zake mbili kuvunjika

Akitulia atakaa kwenye ndoa ila akiwa na zile akili zake tunazozifahamu ataendelea kupgwa chini tu
 
Hainaga uchafu ile[emoji28][emoji28][emoji28]

Ndio maana hata hapo kwako unapopaamini wewe unaweza kuta wenzio wanapita mchana na wewe usiku unapata flavor ileile

Tuwatakie heri
Haahaaahaaa
 
Hajawahi shauri mtu avunje ndoa yenye afya ila huwa anasema ukiona ndoa inataka kukuingiza kuzimu wachana nayo. Kitu ambacho ni kweli na sio kwa wanawake tuu hata kwa wanaume
Mie n mtu nlikiwa namfuatilia sana ila nlipokuja achana na kumfuatilia n pale alipoanza kutoa ushauri ambao binafsi sijawahi kuuafiki. Ila kwa ndoa za kikristu hapo hamna ndoa ila ni show of. Hakuna ndoa mara mbil
 
Ila wanawake wakati mwingine miyeyusho sana..
 
Kama Dida!?
Binafsi kunawanawake hata iweje nisingeweza kuwa nao n mifano ya hao kina dida na kiria n wanawake wenye hulka za kuweka mambo ya ndoa kwenye vyombo vya habari utadhan ndivyo vilivyowaoa
 
Ndoa zote mwanzoni huwa ivyo so nothing strange apo.
Ila kama hii ni ndoa ya tatu basi tusitarajie kudumu ata kwenye iyo ndoa.
 
Back
Top Bottom